TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
Last edited by a moderator:
Lol! Pole kwa yaliyokukuta, ila mbona maelezo yako yanakinzana kiaina!! Mara waache, mara matamu! Wafanye kipi? Unawachanganya!! Ila wamekupata kwenye TITLE yako!
Njooo nikufundishe kidogo ili ukiwa mkubwa bibie afaidi asipate shida
Jamani wadada ukijijua kabisa kuwa unaenda kwa mpenzi, acha kupaka basi haya marangi yenu basi mnayoita Lipstick sijui mekundu.
Unajua kabisa mpenzi atataka kubusu kiaina au kubusu kiundani kabisa.
We hujiulizi unaenda umepaka halafu akikubusu yanaondoka mdomo unabaki mweupe, yanaenda wapi sasa kama sio mwanaume kayameza.
Mtatusababishia kansa wajameni, kwenye maelekezo pale mdada hujaambiwa kuyapaka ili boy wako ayameze bwana.
Mwee ila mengine huwa matamu kweli, Kama ya blackbery sijui Strawberry, mengine ya Apple.
Hayo matamu hata mi nayapenda
Mi naogopa kufanya mchezo mbaya...
Uciogope bana.....
JLW ndio wapi First Born
nikupeleke?
Mmmh!!! basi nimekubali
Sio ukubali kwa kwa kinyongo!!!!!
Nambie kwanza ndio wap kisha ndio twende
Nimekubali kweli kweli...nasubiri hatua inayofuata hivyo
tukifika utapaona tu.. twende..
Wee yan twende tu hata kama ni kuzimu twende tu keeeeee
Aya mkuu ucjAr iv unataka nianzie wap kukufundisha
Wee yan twende tu hata kama ni kuzimu twende tu keeeeee