Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,945
Mkuu mimi nashangaa sana kila nikitoa uz mods wanafuta sijui hata kwanini mkuuMkuuu nyuzi zako tata, zinafutwa na mods sana.........
Mkuu mimi nashangaa sana kila nikitoa uz mods wanafuta sijui hata kwanini mkuuMkuuu nyuzi zako tata, zinafutwa na mods sana.........
Kuna nyuzi moja sasa hivi nilikuwa naipitia gafla ikatoweka..............Mkuu mimi nashangaa sana kila nikitoa uz mods wanafuta sijui hata kwanini mkuu
Mwanaume apake kalio lotion? Tutake radhi tafadhali?Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.
Upande wa pili ndio hii shida imeshamiri yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.
Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Hahahaaa. Hata mafuta ya mgando mkuu yanatosha.Mwanaume apake kalio lotion? Tutake radhi tafadhali?
Anayeaminiwa bila kuonwa ni muumba tu vingine vyote hatuamini mpaka tuone Nipe nafasi ya kuprove Nikikuta gumu nitalilainisha usije ukanangwa kama mwenzakoHahahaaaa. Niamini tu mkuu ni gumu kuliko.
Ah sasa mi nipake makalio mafuta ya nnHilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.
Upande wa pili ndio hii shida imeshamiri yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.
Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
HahahaaaaaaaAh sasa mi nipake makalio mafuta ya nn
Hata mwanamke kunigusa kalio ni kosa la jinai mi mwanaume wa bara banaa sukuma landHahahaaaaaaa
Hahaaaa. Sawa mtani.Hata mwanamke kunigusa kalio ni kosa la jinai mi mwanaume wa bara banaa sukuma land
Kumbe we mtani wangu uyanitambuaaaHahaaaa. Sawa mtani.
Hahahaaa. Mtaniiiiiii.Kumbe we mtani wangu uyanitambuaaa
We pande zp mtaniiiiHahahaaa. Mtaniiiiiii.
We pande zp mtaniiii
Hahaha utakua mzaramo wa msanga ww
Kwani watani zako wanatokea pande zipi. Katika pande utakazoziwaza basi moja natokea mimi mtani wako.
Hujakosea kabisa mtani. HahahaaaHahaha utakua mzaramo wa msanga ww