Wadada Jiongezeni 6*6

Wadada Jiongezeni 6*6

This is a protected area..Umefwata nn lakini..Unapenda kujiumiza bila sababu Mamuchka

Nilikuwa najipitia tu njia mume wangu, macho yakatamani kuangalia, nikaona isiwe taabu nikupe hata hi tu.
 
Hizo shanga 70 ni mpaka shingoni mkuu??
 
Uwiiiiiii, nimecheka mpaka kondakta wa daladala kajishitukia na minguo yake michafu lo!
 
Wewe lazima utakuwa na matatizo si bure

Tatizo langu sipendi mwanamke alete vurugu kunako 6*6... mimi ndiyo nimeletee hizo vurugu... kwa sababu mimi ndiyo rubanj namuendesha yeye.. na si yeye kuniendesha mimi...
 
Mwengine unamfundisha anajibu kama unapenda mkata.viuno si ungewafuata masteji show wa fm academia
 
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend
wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta weee

"Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza
Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza
wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi
usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"
Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA
ANACHOFANYAGA...Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya
Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..Baada
ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya
takataka..Kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna
wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe
maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata
hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unamen
g'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha
unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau
Mlango wa Banda..Khanga ikianguka Mtoto ana
Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua bidua Mguu
mmoja dirishani mwingine kwenye Feni Mauno kama feni mbovu Ukija kutua
unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa
Poleeee...halafu unapewa Juisi ya Embe huku
unakunwakunwa Ulale...
Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama
mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA
HUKO TULALE UNANIBANA"
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu
Mwandamizi wa Kigango cha MAVURUNZA... Me Simooooooooooooh...!
ukweli lkn ww mzinifu mkuuu daaa asante nimecheka.
 
Wengine wanakata,ila sasa full mikelele ndani,sijui ndio uwaongeze dau?
 
Nasikia mwanamke unaweza ukamtengeneza akawa vile utakavyo wewe mwanaume kimuonekano, kielimu hadi ujuzi katika 6*6...So hujachelewa kumfanya huyo wako azungushe kiuno kama fan japo inataka mda...Hata huyo anae kata kiuno kama fan unadhani toka day 1 ya kumake love alikuwa hivyo?
ni kweli....bora uzungumze nae mwelekezane....hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu
 
Watu wengine ni watumwa wa ngono tu, kama wako hajiwezi mpende hivo na endelea kumfundisha kidogokigo naye atakua mtaalam
Pia huko anakopata hayo ashasema ni nje...michepuko iko kimaslahi lazma afanye hivyo ili umpe kitu...amuoe huyo mchepuko aone km nae hatakua gogo...michepuko ni km changudoa mbwembwe zake ndio zinazomuweka mjini...tena sio mtu mmoja wanapangwa wengi....asimpe hela aone km atajitutumua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom