Wadada jifunzeni kupitia binamu yangu

Wadada jifunzeni kupitia binamu yangu

Me kuwa ndugu yako si vibaya ndugu [emoji1][emoji1] kwetu dada zangu wanajua kupika.. karibu
TUNAKUZA UKOO [emoji23]au sio

Wewe mchafuzi tu kama yule mwingine hamna tofauti mnatofautiana jina yule sele wewe denicy
 
Wewe shetani toka katika jina lenye nguvu tokaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23]
ulishapona lakini mdogo wangu?

Screenshot_20230124-143438.png
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah bro nmecheka

[emoji23][emoji23][emoji23] hamnaga huruma nyie unataka umukule bure bure uje uzaishe huzi humu wakula kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]fayaaaaaa[emoji113][emoji91][emoji91][emoji91]

Fayaaaa tokaaa nasema tokaa navynja navunja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea kukemea usichoke kuna nguvu inashuka hapa kuna watu wanapona uzinzi hapa hasa huyu [mention]denicy [/mention] [mention]Get Rich [/mention]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1430][emoji1430]Nmepona bro
 
Umeona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini umesoma mpaka ukacomment inshallllllaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] upate neema za Mungu
Nimesoma kwa shida sana 😂😂
Kwenu mna matatzo, binamu ajui kupika na wewe kuandika ni changamoto 😂😂 hama uo ukoo
 
Nimesoma kwa shida sana [emoji23][emoji23]
Kwenu mna matatzo, binamu ajui kupika na wewe kuandika ni changamoto [emoji23][emoji23] hama uo ukoo

Sana na hatujali na bado tunaishi [emoji23][emoji23][emoji23] acha wivu basi next time niambiee tu nataka juice ya mo au tunda hili usome vizur
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1430][emoji1430]Nmepona bro

Funga macho tushukuru na keshi unatakiwa kufunga tatu kavu mpaka ijumaa ndio ule maana pepo lako limeota mizizi hasikii kama kiziwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Funga macho tushukuru na keshi unatakiwa kufunga tatu kavu mpaka ijumaa ndio ule maana pepo lako limeota mizizi hasikii kama kiziwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nipo kkoo nikifunga macho watakachonifanya najua mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]we tushukuru tu kawaida
 
Back
Top Bottom