Wadada jifunzeni kupitia binamu yangu

Wadada jifunzeni kupitia binamu yangu

Huyu mwanaume ni mkware tu. Na hii inamaanisha kuwa hawezi kujizuia na wanawake walio karibu naye. Huyu hata akiletwa dada wa kazi hataweza kujizuia.

Sana af mshamba mimi ndo maana sipendi urafiki na shemeji kwasababu nitajua uchaafu wake af nitampiga
 
Bwana ake binamu yako Ni dhaifu asijifiche kwny kichaka Cha mapishi.
Ni Tamaa zake tu mbususu zimemsumbu

Kosa la binam yako Ni kumuamini Sana shoga ake na kukaribisha mazoea sana na bwana ake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Et walikuwa wanapika wanakula wote kwa pamoja usiku dah si urofa uho

Mwanaume akileta maembe wanagawana sawa dah napatwa na hasira tajiri mkuu
 
Kaka mwachi umetisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ruch au lunch[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ahahah lunch ujue bado na hasira sana na huyu shemeji hewa
 
Et walikuwa wanapika wanakula wote kwa pamoja usiku dah si urofa uho

Mwanaume akileta maembe wanagawana sawa dah napatwa na hasira tajiri mkuu
Suala lililopo ni jamaa hakumpenda binamu yako TU, ndo maana mlitumia Nguvu kubwa Sana kumuozesha.

Angempenda,
Asingezuzuka na mapishi ya jirani,
Hata Kama angemla,binamu yako angemrudisha na jiran angeendelea kua Mchepuko kisiri siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala lililopo ni jamaa hakumpenda binamu yako TU, ndo maana mlitumia Nguvu kubwa Sana kumuozesha.

Angempenda,
Asingezuzuka na mapishi ya jirani,
Hata Kama angemla,binamu yako angemrudisha na jiran angeendelea kua Mchepuko kisiri siri

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo umenena

Lakini kama ndio ungekuwa ww mtoto wako kakuletea mimba nyumban ungefanyaje
 
Habaro za mchana natumai wote mmepata ruch pale food point au kilimanjaro hotel (utani tu kama kawaida yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bado karibu ugali na mrenda na mtindi huku bunyokwa)

Twende kwenye mada

Nina binamu yangu ambaye alipata mimba huko mtaani sasa tukakubaliana wanaume wafamilia kumpeleka huyo binamu kwa mshikaji ambaye amempa mimba.

Tulienda na binamu yangu kwa huyo mshikaji tulipo fika tukaongea nae yule mshikaji hakuwa mbishi halimpokea kwa mikono miwili na akatoa faini laki tatu na nusu

Sasa baada ya kumuacha yule binamu kwa mshikaji mimba ikaaza mtia uvivu hatakai kupika kupika anamuita jirani yake wanapika pamoja yule jirani sasa yule bwana akanogewa na pishi la jirani huyu binamu wetu huyu ni kweli hajui kupika nikisema hajui hajui kabisa

Sasa mdogo mdogo yule bwana akanogewa kule kwa jirani sasa alipo karibia kujifungua akabidi aje home kuja kujifungua kakaaa sasa siku ya kutaka kuludi kwake ndipo mwanaume akatuma barua kuwa huyo asiludi tena huku hila matumizi ya mtoto nitakuwa naatoa

Sasa analia lia kila siku kisa ujinga wake mimi nilimchana nikamwambia hukutakiwa kuruhus mwanamke mwingine ulitakiwa humzoeshe chakula chako ili hajue pungufu lako sasa wewe umempa jirani apike si ujinga huo

Na hii tabia wadada wengi mnayo jifunzeni

Yangu hayo

[emoji16][emoji1] ila ndugu mmemdekeza sana binadamu why hadi amekuwa mama hajui kupika
 
Back
Top Bottom