Wadada jifunzeni kupitia binamu yangu

Wadada jifunzeni kupitia binamu yangu

[emoji23][emoji23][emoji23]sasa hili si ungemwambia binamu
Usiniambie hivyo bna mimi sio binamu [emoji1][emoji1]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nikufundishe na wewe au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo lake naye lilikuwa kama la binamu
Nimebaki na rafiki yake

Af nataka kwenye akutukane mpaka upaliwe [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aende TU kwa bwana ake akalianzishe,
Tena ana mtito wake,Akomae ndani liwalo na liwe, Jamaa nafsi itamsuta na Watu watamsema. Maisha yataendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini afate ushauri wako ule wa mwanzo kwamba alilinde penzi lake kwa gharama yoyote , inaonekana lijinga sana uyo binamu wa jamaa,

Hata aibu alioni linaruhusu kabisa mume wake kupikiwa na mwanamke mwingine tena milo yote limekaa tu.
 
Umukule wew nakujua wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huko umefika mbali chakula atakula nani… me nitakuwa nakula tu chakula chake na kumtia [emoji16][emoji16]moyo kumtia moyo aongeze bidii ili arud kwa mumewe
 
we peleka moto tu usione aibu cha msingi kwepa mimba usije ukanunua kesi juu ya kesi[emoji3062][emoji3062]

Mimi sio wahivyo
Af mimi mdogo nifafanulie moto wanapelekaje?[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huko umefika mbali chakula atakula nani… me nitakuwa nakula tu chakula chake na kumtia [emoji16][emoji16]moyo kumtia moyo aongeze bidii ili arud kwa mumewe

Ahahaha mpaka anatoka hapo ana mimba yako sio ndio lengo lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Ahahaha mpaka anatoka hapo ana mimba yako sio ndio lengo lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Me kuwa ndugu yako si vibaya ndugu [emoji1][emoji1] kwetu dada zangu wanajua kupika.. karibu
TUNAKUZA UKOO [emoji23]au sio
 
Back
Top Bottom