Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,587
- 19,840
Write your reply...Kijana embu acha kutulisha matango pori mchana huu, Binamu yako alikuwa mpumbavu kiasi gani mpaka anashindwa kuustukia mchezo baina ya shemeji yako na jirani
Nipo kkoo nikifunga macho watakachonifanya najua mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]we tushukuru tu kawaida
Jamani msimlaumu Boss Mwachiluwi Kuhusu mwandiko huenda secretary wake ndo alimuandikia.
Sema boss unaspend Sana kwenye mahoteli aisee mara wavuvi kemp au food point
Litatimia Kwa mapenzi ya mola,na usinisahau hata kudeki vyoo naweza boss Mwachiluwi .Nina dream ya kufungua yangu Mungu aakinipa kibari
Litatimia Kwa mapenzi ya mola,na usinisahau hata kudeki vyoo naweza boss Mwachiluwi .
Acha haraka,shusha pumzi kisha elezea vizuri ueleweke.Habari za mchana natumaini wote mmepata runch pale food point au Kilimanjaro hotel (utani tu kama kawaida yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bado karibu ugali na mrenda na mtindi huku Bunyokwa)
Twende kwenye mada
Nina binamu yangu ambaye alipata mimba huko mtaani sasa tukakubaliana wanaume wafamilia kumpeleka huyo binamu kwa mshikaji ambaye amempa mimba.
Tulienda na binamu yangu kwa huyo mshikaji tulipo fika tukaongea nae yule mshikaji hakuwa mbishi alimpokea kwa mikono miwili na akatoa faini laki tatu na nusu
Sasa baada ya kumuacha yule binamu kwa mshikaji mimba ikaaza mtia uvivu hataki kupika anamuita jirani yake wanapika pamoja yule jirani sasa yule bwana akanogewa na pishi la jirani huyu binamu wetu huyu ni kweli hajui kupika nikisema hajui kabisa
Sasa mdogo mdogo yule bwana akanogewa kule kwa jirani sasa alipo karibia kujifungua akabidi aje home kuja kujifungua kakaaa sasa siku ya kutaka kurudi kwake ndipo mwanaume akatuma barua kuwa huyo asirudi tena huku hila matumizi ya mtoto nitakuwa natoa
Sasa analia lia kila siku kisa ujinga wake mimi nilimchana nikamwambia hukutakiwa kuruhu mwanamke mwingine ulitakiwa humzoeshe chakula chako ili ajue pungufu lako sasa wewe umempa jirani apike si ujinga huo
Na hii tabia wadada wengi mnayo jifunzeni
Yangu hayo
Acha haraka,shusha pumzi kisha elezea vizuri ueleweke.
Mke Mkubwa wa dokta Mwaka anadai talaka
chanzo Cha habari ni Millard Ayo
Hila....ilaMimi nimeongea tu hila sijajua na wewe una kasoro hiyo [emoji23][emoji23]
Kuhusu house girl Usimruhusu mumeo ajaribiwe kupita kiasi. Unajijua u flat screen halafu unaleta house girl mwenye nundu. Anaweza kuvumilia lakini kuna siku atamla tu.Huyu mwanaume ni mkware tu. Na hii inamaanisha kuwa hawezi kujizuia na wanawake walio karibu naye. Huyu hata akiletwa dada wa kazi hataweza kujizuia.
Samahani boss Mwachiluwi, Kama nimekuuzi, si unajua jobless wa kimataifa Sina kazi hivyo nisaidie.Af wewe unanijoki [emoji23][emoji23] mpaka shetani anajifunza kitu kutoka kwako
Samahani boss Mwachiluwi, Kama nimekuuzi, si unajua jobless wa kimataifa Sina kazi hivyo nisaidie.
Boss, hio hela si bora unipe nisonge hata ka ugali robo-509,msusa100. Nabakisha na chenchi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23] njoo ukunywe bia hapa soweto
Boss, hio hela si bora unipe nisonge hata ka ugali robo-509,msusa100. Nabakisha na chenchi kabisa.
Ndo vyakula vyangu Mimi jobless wa kimataifa.[emoji23][emoji23][emoji23] una haribu sasa boss
Mwanaume akipungukiwa hela kidogo utawasikia feminists wacha asaidiwe na wanaume wenzake kama hawezi kuhudumia mke!!! Haya mwanamke akishindwa kuhudumia mume utasikia mwanamme mkware katelekeza familia nk nk nyingiiiiHabari za mchana natumaini wote mmepata runch pale food point au Kilimanjaro hotel (utani tu kama kawaida yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bado karibu ugali na mrenda na mtindi huku Bunyokwa)
Twende kwenye mada
Nina binamu yangu ambaye alipata mimba huko mtaani sasa tukakubaliana wanaume wafamilia kumpeleka huyo binamu kwa mshikaji ambaye amempa mimba.
Tulienda na binamu yangu kwa huyo mshikaji tulipo fika tukaongea nae yule mshikaji hakuwa mbishi alimpokea kwa mikono miwili na akatoa faini laki tatu na nusu
Sasa baada ya kumuacha yule binamu kwa mshikaji mimba ikaaza mtia uvivu hataki kupika anamuita jirani yake wanapika pamoja yule jirani sasa yule bwana akanogewa na pishi la jirani huyu binamu wetu huyu ni kweli hajui kupika nikisema hajui kabisa
Sasa mdogo mdogo yule bwana akanogewa kule kwa jirani sasa alipo karibia kujifungua akabidi aje home kuja kujifungua kakaaa sasa siku ya kutaka kurudi kwake ndipo mwanaume akatuma barua kuwa huyo asirudi tena huku hila matumizi ya mtoto nitakuwa natoa
Sasa analia lia kila siku kisa ujinga wake mimi nilimchana nikamwambia hukutakiwa kuruhu mwanamke mwingine ulitakiwa humzoeshe chakula chako ili ajue pungufu lako sasa wewe umempa jirani apike si ujinga huo
Na hii tabia wadada wengi mnayo jifunzeni
Yangu hayo
Mrenda badala ya mlendaKaka mwachi umetisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ruch au lunch[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]