sasa tubadilike nn?
wewe ndo wa kubadilika.
1,2,2,4,50,kbx. ndo nini??????????
kuna mrembo mo1 alikua ni she wang tukaja temana kutokan namambo zake zatama 2 ni mwezi wa 4 sasa toka 2temane nae 2kawa 2mekata mawasliano nae kbx kila m2 na 50 zake. chajabu nakushangaz majuz 2. kanipigia cmu akidai eti ooh! jamani ume2pa jongo na mtiwake. co vizur afu leo cku ykuzaliw kwangu ata ujaniambia happy barthday? jaman... sasa nini mana yakutaka kila m2 ale 50 zake? apo
yaani bidada ni hivi mwache kujishaua...yaani msiwe sitaki nataka ebo!
kwani ujaelewa nin apo au we mpenda dibeit?1,2,2,4,50,kbx. ndo nini??????????
soma tena uta elewa tu!Mi sijaelewa kabisa!
1,2,2,4,50,kbx. ndo nini??????????
tabia mkuu naco vinginevyo asee!sasa tubadilike nn?
wewe ndo wa kubadilika.
swali lako nigum afu baya au we unaonaje?kuna watu wana akili ila busara hawana pia kuna watu wana busara ila akili hawana japo wapo wachache wenye akili na busara!
bila kusahau wengi wenye kukosa busara na akili! wewe unafikiri uko wapi hapo? na huyo she wako wa zamani yuko wapi?