Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Nashukulu bado sijakutana na dem wa hyo character na wish nimpate aone show
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Duh!, kweli umechukia, maana umeongea kwa hisia kali sana.
 
Hii tabia sio kwa mabinti tu hadi hawa mabrazamen wa dar.Unamnunulia mshikaji chakula analambalamba folk and knife then anabakisha chakula.

Inakera kwa kiasi chake!!!!

Kumbuka unachokipata yuko ambaye amelala njaa!!!
 
Sasa ngoja ajambe ndio utajua huyu mchana kashindia maharage na dona ila alikuwa analeta pozi tu KFC.

Uzuri wa sehem hizo unaweza kuwaambia wakufungue kama kimekushinda lkn watu wengi wanajifanyaga kuacha...shenzy kbs
Sasa mkuu uko na michakato yako mtaani ila njaa imekuuma ukaona uingie kula KFC umeshiba utaomba kufungiwa uanze kuzunguka tena kitaa na kafurushi ka vipande vya kuku
 
Sasa mkuu uko na michakato yako mtaani ila njaa imekuuma ukaona uingie kula KFC umeshiba utaomba kufungiwa uanze kuzunguka tena kitaa na kafurushi ka vipande vya kuku
Kwani hamna watu wanaonunua chakula kwenda kula nyumbani?au ndio nyie mnataka mkae KFC mpige picha tu
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani hamna watu wanaonunua chakula kwenda kula nyumbani?au ndio nyie mnataka mkae KFC mpige picha tu
Acha kukalili wewe, mtu anamishemishe zake town kahisi njaa anaingia hapo kula kashiba unataka ajilazimishe kula au unataka aombe kufungiwa aanze kutembea mtaani na vijipande vya kuku... Huo wako ndo unaitwa ushamba wa kushangaa mtu kuacha chakula kisa kashiba na kuanza kumpangia abebe akalie nyumbani na ukute hata kwako huwa unabakisha chakula na unatupa ila unakuja kushangaA hapo, na inaonekana wewe ndo huwa unaenda kupiga picha hapo na ndo maana mkaamua kupiga ya huyo alobakisha mkaanzishia uzi
 
Ila mshkaji nae shilawaduu. [emoji125] [emoji125]
 
Sasa ngoja ajambe ndio utajua huyu mchana kashindia maharage na dona ila alikuwa analeta pozi tu KFC.

Uzuri wa sehem hizo unaweza kuwaambia wakufungue kama kimekushinda lkn watu wengi wanajifanyaga kuacha...shenzy kbs
Au zile kucha za kubandika zinakataza kula sana ili kuepukana na kuchambachamba
 
Hahahaaa. Aisee.

Ila huwa napata shaka kama huwa wanakuwa wameshiba kweli au ndio nyodo za kujifanya hawali sana huku moyoni karoho kanauma kwa kuacha msosi.
 
HA HAHA HAHAAAA MKUU UPO SAHIHI KABISAA..KUNA WENYE K MBAYA BWANA MHHH..WAKUTA LIMETUNA KAMA USO wa pweza
[emoji23][emoji23][emoji23] Hebu nitafutie Uso wa pweza na Pua ya mbwa mlizozifikiria!..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hebu nitafutie Uso wa pweza na Pua ya mbwa mlizozifikiria!..
hahaaa kwahiyo tum mention hapa au ..tukutumie hiyo sura yenyewe ya USO wa pweza pm...
mkuu USO wa pweza jinsi ulivyo ni balaa
 
hahaaa kwahiyo tum mention hapa au ..tukutumie hiyo sura yenyewe ya USO wa pweza pm...
mkuu USO wa pweza jinsi ulivyo ni balaa
Hahaha niwekee hapa picha ili niiangalie picha nikumbuke na maneno yenu!...First commentator kaua sana na comment yake
 
Kudadeki zake mwanamke wa hivyo! Yaani ukithubutu kuacha chakula kama hivyo nakubebea na muda mwingine wa chakula utambambanacho hicho hicho....
 
Hahahaa. Huyo akifika home lazima akale tena aisee
Kula tena muhimu asee...

Alafu kunakuaga na zile moment ukipata njaa unaanza kukumbuka vyakula vyote ulivyowahi kuviletea uzembe. Sasa huyu dada hicho chakula kitamtesa sana
 
Mtu yeyote anaejua maisha hawezi kuacha chakula kingi hivyo. Hata kama siend kula nabeba sitakosa wa kumpa.
Kabisaaa,hii ni kufuru na laana mbaya..MTU mzima mwenye akili timamu hawezi Fanya hivi kuna wenye njaa wangapi mitaani jamani eeh,ukiwapelekea hata hicho kidogo si watakushukuru,..daah,!!!,,.,
Sio km unafanya fasheni,kwamba hamli sana? au sehemu ya kukomoa ama kumpima mtoa ofa?,maana wadada wa town mna vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…