Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Wengi wao ni wale watazamaji wa bongo movie,
wenzao wana acha kwenye filamu,wao wana aacha kwenye uhalisia,
 
Hv kwanini watu mnakula migahawani.mi nikienda kukutana na mtu nakuwa nimeshiba nakunywa tu maji
Hiyo picha inawakilisha kile tuitacho "fast food" ama wahispaniola wanaita "comida rapido". Watu wengi wanakufa majumbani kwa sababu ya hivi vyakula vyenye migahawa yenye majina mazuri sijui McDonalds, KFC, Papa John's n.k.

Natamani ningekuwa na namna niifunge hii migahawa yote. Inatujazi kizazi kisicho na afya.
 
hadi roho imeuma tan,maisha yalivyomagumu
 
Tumekupata vyema msikilizaji wetu Nzi kutoka Organic food kagongwa kahama Tanzania.
 
Sema jamaa nae kazengua me nikimtoa demu out halafu abakishe chakula km icho uwa nakivuta kwangu na kukimalizia sipendi tabia ya kumwaga chakula
 
Mtu mwenyewe unakuta anakaa tandale halafu anajifsnya kuacha kuku kwelii,wadada wengine wa hovyoo kabisa
 
Mzee macho lazima yakutoke bili inapokuja yenye tarakimu 35,000
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mabinti wengine bana, anaacha menu kama hiyo then anakwenda kwao kushindia mafenesi na dona, shenzi kabisa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Wanaume pia acheni ushamba, kufuatilia vitu vidogo kama ametoa hela yake kununua chakula kwanini umfuatilie.... [emoji23] [emoji1] [emoji119]
 
WANGEJUA JINSI HELA TUNAVYOZIPATA KWA TABU WASINGEFANYA HUO UPUUZI
 
Wanaleta uzungu hata Kingereza hawajui [emoji3] !
 
Kuna bidada mmoja namkubali.hadi napenda kwenda nae out!akiletewa chakula au kinywaji lazma kiishe haijalishi wingi wake!huwa ananipa raha sana kumwangalia akila tu.hata kwenye mechi hana aibu nampenda sana asee!anakata viuno km hana akili nzuri haijalishi uzuri kila idara alokuwa nao.hajiskii wala kuringa anajiachia balaa.
 
Mimi fiesta ya mwaka juzi Arusha, nilipiga mtu makofi kisa ujinga Kama huo!we chipsi mishikaki mitatu mtu kala kipande kimoja tu etii ooh zimepoa manina walahii niliwaka balaa..akaanza ooh unanisamanga kisa chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…