Wadada: Hizi Makeup, give us a break

Huu urembo wa kulazimisha tabu sana.

Hawana hata pozi
 
kha! hata jihson mnaiandama?? ndo kapoda kangu na plistik yangu vaseline. hizo poda za kwenye vimikebe kwanza ghali halafu na joto hili basi ukichuruzika jasho uso unakuwa kama una "gully erosion".
Hahahaa siyo water erosion mkuu?
Kwani bei gani hivyo vimikebe?
Nijitolee kufadhili wadada kadhaa?
 
Udongo wa pemba siku hizi hawatafuni tuu wanajipaka pia
 
Umeongea point sana wamezd jaman yan mtu akiwa na makeup na akinawa uso unaweza kufkir watu wawil tofaut
 
Wakiwa wanajikandika make - up na kuvaa fake wigs wanadhani wanatu-impress sisi wanaume, mm kiukweli naboreka na fake wigs coz kila m2 anajua si nywele zake bora tu demu anyoe hlf achonge frem, ibra87
Mkuu mimi ndio maana nawapenda sana wasabato wale wanaonyoa nywele wanapendeza sanaaa na wanavutia kwakweli!
 
Mkuu pole sana kwakweli dawa yao ni kuanzisha principle ya don't touch me!
 
Kawaida kupaka make up ni kielelezo cha kujikubali kwamba hujafikia Kiwango!! Unajiona mbaya kiasi makeup zina kuwa faraja yako!! Pole
 
Mkuu mimi ndio maana nawapenda sana wasabato wale wanaonyoa nywele wanapendeza sanaaa na wanavutia kwakweli!
Sio siri wale wanawake ni wazuri. Ajabu Hawa kenge wanawaona wamepitwa na wakati
 
Teh teh em ngoja niamwangalie vizuri kuku wa kukaanga

Si unawaonaga wale kuku vibanda vya chips kitaa uchwara huko walivyo wekunduu...ndio unakuta dem rangi yake sasa. Daah dem hata akikupa unyumba sidhani kama anakua mtamu ki ukweli. Hahaha daah
 
Sio siri wale wanawake ni wazuri. Ajabu Hawa kenge wanawaona wamepitwa na wakati
Mkuu ndo nchi yetu ilipofikia kizuri kinapigwa mawe na kibaya kinapewa headlines kila uchwao!
Refer kina wema sepetu and alike!
Wadada wanaojitambua wanaonekana washamba aisee inakera sana!
 
Hahahaaa!!! Sasa mama ukibabuka tena tukaja kujumlisha na yale mengine si ni majanga plus plus.
Acha tu ndugu kibwengo, tutajuaga mbele ya safari ila make up lazima nijikandike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…