Wadada: Hizi Makeup, give us a break

Mkuu picha inahusika, tuone huyo maiti huenda ni ndugu aliyetupotea siku za karibuni.
 
Hahahaa ati unarudi geto siku imeharibiwa....
Makeup zipo unaweza apply and ukabaki na mwonekano wako wa asili and classic,nude lipstck,smoky eyes,foundation inayomatch na skintone yako etc
 
Hahahaa ati unarudi geto siku imeharibiwa....
Makeup zipo unaweza apply and ukabaki na mwonekano wako wa asili and classic,nude lipstck,smoky eyes,foundation inayomatch na skintone yako etc

Hahahaa maelezo mazuri

Lakini si muwe mnaambiana angalau mnatuumiza sometimes
 
Hahahaa maelezo mazuri

Lakini si muwe mnaambiana angalau mnatuumiza sometimes
Hahahaa, wakiambiwa wanaona tunawaonea uwivu lol... sijawahi kuona mtu kajikosea hivyo usoni nikimuona nitamwambia....
Mfano mzuri mke wa fella makeup zake kama jini ila haambiwi hasikii
 
Hahahaa, wakiambiwa wanaona tunawaonea uwivu lol... sijawahi kuona mtu kajikosea hivyo usoni nikimuona nitamwambia....
Mfano mzuri mke wa fella makeup zake kama jini ila haambiwi hasikii

Hahahaha yule naye tatizo khaaa! poa nikiwaona ntakuja kuwashtaki kwako unisaidie kuwaambia...

Naogopa kusutwa dume zima mimi
 
Jana nilimuoana msichana aisee hiyo makeup mpaka USO umekuwa mweupi na ule wanja ndo balaa kabisa
 
Kweli tunatofautiana mkuu, mwanamke asipotumia powder kwangu Big No.
Aisee mkuu wewe ni exceptional
Unawezaje kuzivumilia
Na zile wanja zao akikugusa shati tu kakuchafua
Halafu wana makusudi sana anaona umependeza zako mara anakudekea kakulalia kifuani shati lishajaa mipoda na miwanja jamani inaboa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…