Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaa, tuko wengi tulioshindwa na dawa....asante best..nna natural hair ya kubana kipafu..lol
ngoja niifanye hii style kesho. inaweza dumu kwa muda wa siku ngapi bila kuvurugika?
mambi ya dawa yamenishinda..
ha haaa, tuko wengi tulioshindwa na dawa....
unaweza kaa nazo hata wiki, ila mimi nikifanya hivyo ni kama naenda mahali, baada ya siku 2 huwa naosha....
siwezi kaa nazo zaidi ya siku 2 maana ile activator inakuwa inatengeneza kama vipaticles fulani ambavyo naviona kama uchafu, so huwa sipendi. ila kama unaweza vumilia unaweza kudumu wiki, ila ndo unakuwa huchani na chanuo, ni mwendo wa kutengeneza kwa vidole
ila sasa kama natural yako ni kipilipili sijui itawezekana! maana mimi zangu ni laini sana
natural ni bomba ila kweli inauma, na makasheshe ya kujifunga mabutu kila usiku ili kesho zichanike vizuri, lol!hahaaa..asante sana. natural yangu ya kati si laini si ngumu. nitajaribu kwa my young sister pia yy ndo ana nywele laini mno.
huwezi amini watu kibao huwa wanani admire sana..wengi wanatamani ila wanasema hawawez vumilia eti zinauma.
i love my hair zinanifanya nijione wa kipekee.
natural ni bomba ila kweli inauma, na makasheshe ya kujifunga mabutu kila usiku ili kesho zichanike vizuri, lol!
ila nakomaa nazo hivyo hivyo
mkuu, hayo ni mambo ya fweza usipime...hiyo kitu mwanamke anaspend masaa 2 salon kisha analipa elfu 50 cash.hii inaitwa yebo yebo au yebo fasta. mia
nimefurahi kukuona ndugu yangu. Habari za siku nyingi?. miaaaaaaaaaah changu kilemba ushungi haya majimambo wanaweza wamama wamujin na wenye pesa zao
tunanihii gani tena rafiki?
mwenzangu, ni bora kuwa soja
na mimi ndo naelekea kwenye usoja aisee
Nywele za madada ni gharama sana na mm wife akiniambia anataka kwenda saloon huwa na scratch my hands maana najua hela ni nyingi hapo zinahitajika!
Sangita au Mmasai ni zaidi ya laki sasa na akienda huko mjini akaona"Brazilian Wigs"ikawa vita home,kuulizia bei yake ni laki 4 nikachoka mwenyewe!
Kipato changu hakikuruhusu kununua hilo wig nikanyimwa unyumba hadi nilinunue ahahahahaha!Namshukuru mungu nikamnunulia mambo yakaendelea!
tena nimekumbuka, kwa sasa na kipilipili changu ngoja siku moja moja niwe natumia kigae.....
nina vyungu vyangu kadhaa pale home, nitavunja kimoja kwa ajili ya matumizi haya.....
karubu besti tukumbushie enzi...... usisahau na mafuta ya nazi
poa rafiki,Ukivunja chungu naomba nami kigae!
Nywele za madada ni gharama sana na mm wife akiniambia anataka kwenda saloon huwa na scratch my hands maana najua hela ni nyingi hapo zinahitajika!
Sangita au Mmasai ni zaidi ya laki sasa na akienda huko mjini akaona"Brazilian Wigs"ikawa vita home,kuulizia bei yake ni laki 4 nikachoka mwenyewe!
Kipato changu hakikuruhusu kununua hilo wig nikanyimwa unyumba hadi nilinunue ahahahahaha!Namshukuru mungu nikamnunulia mambo yakaendelea!
Mke wa bahili hapendezi bau weeh. Na sasa akishasuka sangita si unyumba hupati siku mbili zingine? Manake zinavyouma kama adhabu!mie kusuka siwezi kabisa manake ngozi yangu inauma kama ya mtoto. Na hayo mawigi kwa kweli nayaogopa. Mungu alijua tu akanijalia nywele nzuri natural!
ulipokuwa unaoa mdada expensive ulitegemea nini?
sijawahi suka nywele ya laki, sivai wig wala hizo brazilian......
nikisuka nywele expensive sana ni 30,000 hapo kila kitu kwa msusi, mimi napeleka kichwa tu.
haya maisha ni kuyajulia tu. ukitaka kusuka yeboyebo salon bab kubwa unalipa laki, nini nasuka mtaani nzuri kuliko hizo za masalon makubwa nalipa 15,000. tukitokelezea huyo aliyesuka kwa laki ananiuliza mimi wa 15,000 nimesuka wapi
ha haaa, sasa hiyo ya kukaa salon foreva ndo inanishinda my dear....Hahaha ngoja tusitoe siri. Ila ukiwaambia saluni unataka afro kinky hair wanakudoo. Lol. Inapendeza but unakaa saluni hadi unaota mizizi.
poa rafiki,
nilikuwa navikagua hapa nimeona kimoja kimeanza kuweka ufa, ni sababu nzuri sana ya kukivunja, lol!
kwa sasa nimesuka, nikifumua tu nitafanya huo utaratibu....
stay tuned
Kuna jirani yangu mmoja mke wake alimshinikiza apelekwe saloon kusuka hizo sangita. Jamaa akajipigapiga akampeleka (by the time mdada alikuwa mjamzito). Ila anarudi usiku anamkuta mwanamke anafumua nywele, kumuuliza kulikoni anamwambia aah sijazipenda tu!!
Kilichomsaidia mdada ni ujauzito la sivyo siku hiyo jamaa angemtoa ngeu!
ha haaa, hiyo kiboko....Kuna jirani yangu mmoja mke wake alimshinikiza apelekwe saloon kusuka hizo sangita. Jamaa akajipigapiga akampeleka (by the time mdada alikuwa mjamzito). Ile anarudi usiku anamkuta mwanamke anafumua nywele, kumuuliza kulikoni anamwambia aah sijazipenda tu!!
Kilichomsaidia mdada ni ujauzito la sivyo siku hiyo jamaa angemtoa ngeu!
Hahahaha. Umenikumbusha drama za amina chifupa (rip). Yaani enzi zile alikuwa anaacha saluni laki hata 5! Anawaambia wamsukie weaving, wakimaliza anasema hajapenda. Hapo na kufumua upya ni hela analipia. Anasukwa hata 3 times. Na analipia weavings zote na asizozipenda anamuachia msusi. Wanamgombeaje? Nilikuwa nikimkuta saluni naandaa mbavu.