Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,504
- 9,947
Mdada ujue Mm ni mtu poa sana.Mzee wa Macastle 🙌
😊😊😊
Mdada ujue Mm ni mtu poa sana.Mzee wa Macastle 🙌
Najua 😅Mdada ujue Mm ni mtu poa sana.
😊😊😊
Unataka nipende nini tena jamani Ba mtu.Hela si ndio zinakufanya uteleze😅 ila wewe Bwana!!
Mods wamenipiga mkwala hii issue.JF VAR CHECK
Mdada. Kesho weekend inaanza. kaa sehem yenye Kitomoto na Serengeti apple. alaf utume Lipa namba.Najua 😅
Hakunaga mtu anaekunywa akawa mbaya 😝
Haya ndo mambo ninayoyapenda Sasa 😋😋😋😋Mdada. Kesho weekend inaanza. kaa sehem yenye Kitomoto na Serengeti apple. alaf utume Lipa namba.
Vipo vingi mbona!!Unataka nipende nini tena jamani Ba mtu.
Labda Chakula 😅Vipo vingi mbona!!
Ukiulizwa utaje huo usuper star uko kwenye nini unaweza kusema? Mnajiamlia mambo wenyewe kama wajinga!Ma superstaa wa JF mnaupiga mwingi hadi unamwagika.
Toa upumbavu wako acha kunifatilia kama huna kazi za kufanya sio shida zangutangu mkuu utoke ban naona unawaka kwel
Unakuwa mkali sana!!Ukiulizwa utaje huo usuper star uko kwenye nini unaweza kusema? Mnajiamlia mambo wenyewe kama wajinga!
Mods sai hawatanii ukizingua tuh ni ban inatembeaMods wamenipiga mkwala hii issue.
Sitaki mazoea ya kipuuzi!Unakuwa mkali sana!!
Hata mimi nina mashaka¡Una uhakika gani kwamba hao n wadada?
Penda neno la BWANA....Unataka nipende nini tena jamani Ba mtu.
Aisee, basi vijana wachukue notes, mazoea ya kipuuzi hapana!!Sitaki mazoea ya kipuuzi!
AleluiyaaaaaPenda neno la BWANA....
Mnajiamlia mambo wenyewe kama wajingaUkiulizwa utaje huo usuper star uko kwenye nini unaweza kusema? Mnajiamlia mambo wenyewe kama wajinga!