Wadada hawa wametesa sana JF!!

Wadada hawa wametesa sana JF!!

Sio wanaJF ndio tuna kazi? Manake huyu aliyeleta mada ni member since july 30 2026 means ana wiki tu

Kama unavyoona anaijua JF na members wake nje ndani,hapo unajiuliza huyu kanzu lake la zamani lipi?

Mods huko wanamuona huyu na wanamjua ni nani
Mambo ya kanzu jipya sheikh ni yule yule 😂
Kazi tunayo bro..
 
Kumbe unanifuatilia,
Safi sana,
Keep it up.
Hii siyo hoja.

Na haiondoi uhalisia kuwa unachuki binafsi na baadhi ya hizo ID za wakina dada.

Alaf wao wala hawana habar na ww.
Wanakukwepa kama ukoma.
Na ndio maana unazidi kusema kila siku hauzijui hizo ID. Ila ukweli unazijua na unataman labda wahangaike na ww. Ila na wao wamedinda 😊😊😊

Ww ukisema hauzijui. Ila Wao hata kuona ID , mada au reply zako hawaioni.
vipofu kabisa ikija ishu inayokuhusu.
 
Back
Top Bottom