Ayatollah the Bird
Member
- Jul 30, 2026
- 87
- 218
- Thread starter
- #61
tangu mkuu utoke ban naona unawaka kwelUjingaujinga tu! Mnapenda kutag watu upumbavu nyoko nyie!
tangu mkuu utoke ban naona unawaka kwelUjingaujinga tu! Mnapenda kutag watu upumbavu nyoko nyie!
Nimekujibu ila naona Mods wamefuta comment yangu,Hii siyo hoja.
Na haiondoi uhalisia kuwa unachuki binafsi na baadhi ya hizo ID za wakina dada.
Alaf wao wala hawana habar na ww.
Wanakukwepa kama ukoma.
Na ndio maana unazidi kusema kila siku hauzijui hizo ID. Ila ukweli unazijua na unataman labda wahangaike na ww. Ila na wao wamedinda 😊😊😊
Ww ukisema hauzijui. Ila Wao hata kuona ID , mada au reply zako hawaioni.
vipofu kabisa ikija ishu inayokuhusu.
Ujue kila unapotajwa mimi hupandwa na wivu mithili ya Nyegere.Ongezea nyama Nyama kwenye Uzi 😝
Tumetesa na nini?
ShesRise_1 comment yenyewe ni hii hapa.Inawezekana ikawa hii Dunia inaenda speed zaidi yangu au mimi ndio naenda speed zaidi yake,
Hizo ID's za hao wanawake ndio kwanza naziona kwenye huu uzi!
To yeye kukosa hapo hiyo oradha ni batili😒
leo dada soma hii comment kisha kasome comment 60# ndio utaelewa kinacho endelea.Inawezekana ikawa hii Dunia inaenda speed zaidi yangu au mimi ndio naenda speed zaidi yake,
Hizo ID's za hao wanawake ndio kwanza naziona kwenye huu uzi!
ChiUmemsahau haszu mkuu
Mambo ya kanzu jipya sheikh ni yule yule 😂
Kazi tunayo bro..
Ahaa kumbe mlianzia huku sawa jiraniShesRise_1 comment yenyewe ni hii hapa.
😂😂 poleeUtafanya nipigwe Ban,tayari nimesha pewa warning PM
Ma superstaa wa JF mnaupiga mwingi hadi unamwagika.Ujingaujinga tu! Mnapenda kutag watu upumbavu nyoko nyie!
JF VAR CHECKNimekujibu ila naona Mods wamefuta comment yangu,
Nimekutag kwenye hizo IDs ambazo unasema hazinijui,
Usiwe unachukulia comment za watu hapa JF too serious,mimi kusema siwajui haimaanishi siwajui kweli,vitu visivyokuhusu uwe unapita navyo mbali.
Hata mimi sikutaka uje hapa usome 😝Ujue kila unapotajwa mimi hupandwa na wivu mithili ya Nyegere.
Wana helaTusidanganyane bwana!! Cha kufanya hakikisha mlango wa pm haufungwi, vijana wapo active sana😅😅
Mzee wa Macastle 🙌Ww nawe una chuki na baadhi ya hizo ID, hii sio mara ya kwanza unasema hili.
Una lako jambo.
Una uhakika?Hao wote ni mashangazi. Hakuna dada hapo
Hela si ndio zinakufanya uteleze😅 ila wewe Bwana!!Wana hela