Wadada Hala hala na Savanna!!

Kwenu wadada mnaopenda kufakamia savanna, msifikiri ni sifa kufakamia mi savanna, hapo mjue mnafakamia mi sukari tu ambayo inahatarisha afya zenu!! Utakuta mdada anafakamia misavana kama ameambiwa kiwanda kinafungwa! Kunywa kwa kiasi 2 hadi 3

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kama vipi wacheki wale wanaotoa mkopo fasta fasta...wanaweza kukusaidia maramoja!
 
▀▄▀▄▀▄Watumie Castle Lite▄▀▄▀▄▀


ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Buku 4500 kuna limoja jana limefakamia saba, nalichora tu nikishaligegeda halinioni tena

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂nnajiskia kuumwa ila hPa nimecheka jaman khaaa😂😂😂7 si haba 😂😂😂..bora turudi kwenye wine tu sasa kama watu wenyew ndo nyie😂😂niimecheka sana aisee...thys y mie nikitaka kuenjoy natakaga niwe na hela yangu😂jana nilijinunulia image 2 nikaona zimenipeleka sana nikabadili gia angan kwa redds..aisee umenichekesha sana 😂😂😂😂
 
Vipi umemtoa bi dada unaona anazigida tu na wewe balance yako inaanza yumba ukaamua kumtisha ili aache aagize maji? Sasa kama unawakataza savana basi wape kinywaji mbadala kisicho na sukari nyingi.
Lipa tu bili.Ukitaka kula lazima na wewe uliwe kidogo
 
Back
Top Bottom