Wadada Bra na Chupi vikifanana huongeza mvuto

Wadada Bra na Chupi vikifanana huongeza mvuto

Hakuna mdada asiyependa kwenda sambamba na mpenzi/mume wake anavyotaka, tatizo ni pesa mpe pesa alafu mweleze mama Mimi napenda hivi hivi na vile,sure atafanya ili zaidi kukufurahisha zaidi. Sasa kama hela hamtoi au mnatoa kwa Mawazo ndio wataendelea kuishia Tandika,Tandale,ilala,ubungo na manzese kuchagua sagula sagula mabaki ya Bra zilizovaliwa ulaya kitu ambacho hata sisi wanawake hatupendi
Hata mpewe hela vp ...bado hamridhiki...ndo maana mgongwa hovyo sababu ya tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom