Wadada Bra na Chupi vikifanana huongeza mvuto

Thumbs up,.hela hawatoi lakini vitu vzr wanavitaka..toeni hela kwanza muone kama hatumechishi,la cvyo tutaendelea kuvaa sidiria za karume na vyupi vya mwenge hamna namna sasa

kwani nikiingiza dushee sikojoi?
 
581b8213692038ea3d82cad453aa7d76.jpg
f8cee432f2de59ca7840cd3e21e7776f.jpg
 
Hakuna kitu kinavutia kama nguo za ndani, hasa zikimechishwa. Sasa unakuta Bra nyeusi chupi nyeupe, mtu unakuwa kama Black and White.

Wadada make sure unapata vitu vinavyo fanana vya ndani. Sio kumechisha Viatu, handbags na rangi za nguo peke yake. Ndani ni muhimu kuliko nje. Anza leo, kama Mume hajapagawa Thank me later.
Na nyie boxer zenye rangi nyiki zinakera!
 
Hakuna mnyama duniani mwenye mvuto kama Punda milia. Hii ni kwasababu kajua kupangilia rangi zake. Mimi nasema wadada gongeni rangi ambazo zinawapendezesha machoni, mambo ya kuvaa nguo za rangi 1 mwanzo mwisho mmekuwa fire fighters?!

Yani uvae nyeupe tupuuu, umekuwa traffic?!
 
Thumbs up,.hela hawatoi lakini vitu vzr wanavitaka..toeni hela kwanza muone kama hatumechishi,la cvyo tutaendelea kuvaa sidiria za karume na vyupi vya mwenge hamna namna sasa
Etiiii!!! Kam anataka nimechishe aninunulie.
Unakuta mwanaume anataka uvae vizuri lakini mgumu kukununulia ata leso!!!
 
to be honesty hakuna kitu napenda kama kumuona demu aliyevaa pichu nzuri za brand kubwakubwa, cotton flan na hakuna zawadi nayopenda kumnunulia shem wenu kama hiyo kitu na hata nikinunua ghali kiasi gani siumiagi kabisa, wanaume muwanunulie wenza wenu under nzuri usimruhusu mke au mchumbaako kufunika papuchi na pichu za buku za Kariakoo, siyo good mama leloo akapange foleni kununua pichu pale Kongo Kariakoo..so Mkuu kama unapenda nunua siyo mdada anavaa mtumba daadek
 
Hakuna mnyama duniani mwenye mvuto kama Punda milia. Hii ni kwasababu kajua kupangilia rangi zake. Mimi nasema wadada gongeni rangi ambazo zinawapendezesha machoni, mambo ya kuvaa nguo za rangi 1 mwanzo mwisho mmekuwa fire fighters?!

Yani uvae nyeupe tupuuu, umekuwa traffic?!
Hahaahha umenipa kicheko mkuu gonga pepsi ntaja kuilipa
 
Wewe una match boxer na vest???
Embu mtupumzishe bhana

Halafu watu kama wewe wenye maneno mengi ndio huwa hela hutoi, unatoa demands tu. .
Sasa hiyo chupi anatungua kwenye mti?
Toa pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom