Wadada Bra na Chupi vikifanana huongeza mvuto

Picha pleaseeeee....wengine hatuelewi kirahisi...maneno matupu ni sawa na debe tupu haleshi kutikaaaaa.
images.jpg
:rolleyes::rolleyes:
 
Wewe una match boxer na vest???
Embu mtupumzishe bhana

Halafu watu kama wewe wenye maneno mengi ndio huwa hela hutoi, unatoa demands tu. .
Sasa hiyo chupi anatungua kwenye mti?
Toa pesa
ha ha ha...yani laki niliyokupa jana imeshaisha....!!!
 
Mi nikajua unawashauli pia usafi wa nyeti zao! Maana kuna wengine akivua tu chumba hewa inabadilika gafula.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom