displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Ungechukua namba mkuuKuna mmoja nilikuwa nae Leo kwenye dala dala aseee ni aibu. Nikasema kimoyo moyo shetani katika ubora wake
Mkuu unamaanisha saivi nguo za kuwasitiri zimeisha ndo mana wanavaa hivyo?? Hawa hata nguo zote za madukani uwawekee za kusitiri hawatanunua watatengeneza za kwaoHapana mkuu...mimi ni mwanaume nnaueamini katika uhusiano na mwanamke mmoja!! Nikipata ela nitajenga kiwanda cha nguo za kuwasitiri....hii picha inaonyesha demand ni kubwa na supply ni ndogo!!
Tufege tuUkitaka kula kila kitu utakula mpaka sumu ufe.
Mwana umejiapiza topeni kaa suicide mission?Tufege tu
Huyo mume atakua chizi..Kuna ile hash tag [HASHTAG]#nguo[/HASHTAG] yake mtendo wake
Naona inahusoka hapo,
Usijekuta mtu wa namna hiyo anakesha kwenye maombi ili apate mume!!
Mie sio wa dar shem wangu na dar sijawahi hata kufikaWewe mshamba kweli!!.......wewe ni mwanamke wa Dar kweli???........Mimi huwa naambiwa eti huko Dar huwa hainaga ushemeji,eti shem ni kweli?
Mimi uvaaji wangu ni wa staha.Shukrani Mkuu!!
Huwa unafanya yapi kutusaidia juu ya hili?.Je unawashauri kuwa wasivae hivyo?.
Unadhani kipi kifanyike ili tusiendelee kutembea nusu uchi?.
Endelea kuwaombea watabadilika..Mimi uvaaji wangu ni wa staha.
Vijana wasasa ni ngumu sana kuwabadilisha kwasababu media zinawachochea wawe hivo.
Cha msingi ni yeye mwenyew ajitambue kuwa anapovaa vibaya anajidhalilisha.
Maadili tunayolelewa nayo pia yanachangia japo kuwa wanaobadilika kutoka na mazingira tunayoishi.
Kama mtu ni rafiki yangu na tunaelewana namwambia kabisa ila tofauti na hapo nakuwa mtazamaji tu.
Kwa hali ilivyo sasa ngumu sana mtu kukuelewa na inahitaji nguvu nyingi kumbadilisha mtu.
Kama tu kwenye nyumba za ibada mtu anavaa kituko wala haogopi wewe utamwambia nini
Hao hapo ni ndugu zako wa huko shem?Mie sio wa dar shem wangu na dar sijawahi hata kufika
Hela ya kujengea utaishia kuhonga tu..Ponda raha kufa kwaja mkuu.Kamata totozTutajenga kweli?
Na kweli...kabeba gonjwa langu kubwa mkuuHela ya kujengea utaishia kuhonga tu..Ponda raha kufa kwaja mkuu.Kamata totoz
Ndio kutoka kushoto ni mjomba anafatia aunt na jirani yetuHao hapo ni ndugu zako wa huko shem?
Nilikua nimekaa na yeye alikuwa kasimama ila nguo aliyovaa ilikuwa balaa maana inaonesha kila kitu kilichomo ndaniIlikuaje mdau..Tupe mkanda
Hapana mkuu, sio busaraUngechukua namba mkuu
Ukiamua mbona unajengaTutajenga kweli?
Aisee ungempisha aketi mkuu..Ungempaa care na namba unachukuaNilikua nimekaa na yeye alikuwa kasimama ila nguo aliyovaa ilikuwa balaa maana inaonesha kila kitu kilichomo ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]!Ndio kutoka kushoto ni mjomba anafatia aunt na jirani yetu