brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,300
Kabisa ni kweli,ukitaka umkimbize mwanaume we muombe pesa hata papuchi ataisahau nduki vibaya mno....Ukiona mwanamke anakupiga vizinga ujue hakupendi, hiyo ndo silaha kubwa naitumiaga kufukuza ving'ang'anizi tena sio vizinga mzinga mrefu hadi ukiona namba yangu unatetemeka.