Wadada ambao ndoa bado

Wewe sio mimi kweli??
 
Wewe sio mimi kweli??
huyu ni mm mwenyewe..kaona saivi mambo yangu mazuri eti ndo anataka kurudisha majeshi..nani wa kuanza kulea watoto wa mwengine na ulinikacha kwa dharau??..nimemwambia aniache nipoooze machungu ya kipindi kile
 
je unazani kipindi hicho wanakuwa tayari kuishi maisha ya ndoa
( upevu na ukomavu wa kiakili )
 
Ukweli mchungu, binti yeyote below 25yrs akitaka ndoa ni rahisi mno akivuka 30yrs anahitaji muujiza
 
Mi naona wakuoa wapo tu ata ukiwa above 30, as long uwe mwanamke mwenye career yko,umejipanga....hasa kwetu uchagani ndoa tunachelewa...sister zngu wote wameolewa above 30 ,wengne wana pesa chafu hawana ata time ya kuolewa wanahis Ka wataoelekeshwa watakosa uhuru
 
hatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
30yrs!!! Dah umri unazid kukutupa mkono ila ucjal it is a matter of time factor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…