Wadada adhabu nyingine ni mateso-Msaada plz

vijana bwana...wewe ukijua unapenda utamu basi usiwe na permanent gf jamani....wee chovya usepe zako
 
Asprin, source ya dudu ni watoto.

Afu naskia BADILI TABIA anataka kukuwekea madawa akufunge solotepu, ila sijajua anafunga kiungo gani.
 
Last edited by a moderator:
Sijakuelewa, nadhani unatumia simu wakati issue yenyewe inabidi kila kitu kiwe wazi.

Mbona wengine wameielewa? Isome vizuri.

nimeshindwa kuchangia sababu sijaelewa unazungumzi nini..

Mkuu rudia tena kusoma utaelewa..,

Mmmmmmmmmmmmmh!!!!!!! Sasa kama kapigwa soletap simu kachukuaje?

Ieleweke hivi, hakuwa amefungwa mikono, yaani ni kama kapigwa bandage mwili mzima, he can make a move, lakini soltape zikiwa zimemnasa.
 
duu kwanza ninampa pole sana kwa yaliyomkuta ila nina swali sasa kama alikuwa amefungwa mwili mzima aliwezaje kukupigia simu?
na kama mikono ilikuwa huru kwanini hakujifungua mwenyewe sehemu nyingine mpaka akusubiri wewe?

Wakuu naona baadhi hamkunielewa, Ok let me use another verb., hakufungwa na soltape ila ALIBANDIKWA soltape mwili mzima. Hope nimeeleweka.
 
Yani kabla sijamwonea huruma huyu swahiba nimejikuta kwanza nacheeeeka. Khaa

On serious note ni afadhali ya mwanaume mzinzi kuliko mwanamke gaidi! Kum-drug mtu lazima mwanamke huyu ni mzoefu wa mambo flani. Hatari sana.

Ili liwe fundisho kwake na kwa magaidi wenzake, nenda karipoti polisi. Usisahau kumwambia jamaa aseme demu kasepa na 5m zake.

Mkuu kubandua hiyo makitu omba msaada wa daktari vinginevyo utammenya jamaa ngozi, hasa ya hiyo dudu. Source: Kongosho, snowhite.

Hahahahaa., Babu asenti sana kwa ushauri wako. Ila tushammenya jamaa, tumetumia maji ya uvuguvugu which made him asweat then taratibu tukawa tunanyofoa. He is red now kama carrot. Tumempa dawa za maumivu pia. HOpe he'll be fine.
 
Happy Eid wote., ingawa najua kwangu Eid probably sijui itakuwaje.

:focus: Nimepigiwa simu na rafiki yangu like 30 minutes ago kaniambia ana matatizo na amenicall mimi kwa kuwa ni mtu wake wa karibu sana. Wakati ananicall me nilikuwa najiandaa kutoka, lakini akasisitiza sana. Nikasema ngoja nikamsikilize.
Akaniambia nikifika nipite room kwake direct, nikasema sawa ila sitokaa sana, hakujibu neno.

Mi huyo nikachukua ndinga hadi kwake, kama alivyosema nikapita moja hadi room kwake, nilichokiona hakyanani sikuwahi fikiria kuna vitu kama vile. Jamaa alikuwa kalala kitandani mwili mzima kapigwa soltap(Zile karatasi gundi) mwili mzima mbaya zaidi jamaa ana nywele za kumwaga mwilini hadi huwa tunamtania kuwa yupo still kwa transision kuwa binadamu kamili.

Nikapigwa na butwaa, nikauliza ndo mauza uza gani tena hayo, akasema hivi, nanukuu, "Mdogo wangu hii dunia we iache kama ilivyo, najua nastahili adhabu lakini sio hii".
Ikabidi nimuulize nini hasa kimemfanya akufanyie hivo? Jamaa akasema kuwa F alimfumania jamaa anamkiss mdada mwingine bar. Ikabidi nimcall huyo F kumuuliza why amechukua uamuzi kama ule binti akasema amevumilia amechoka, kumbe ashamfumania jamaa sio kukiss tu zaidi ya mara nne. Binti alichoamua ni kumdrug msela then akambeba hadi home. Akamchojoa nguo zote kisha akampiga soltape mwili mzima, I mean except viganjani na kichwani na kwa nyayo.

Nimejaribu kunyofoa sehemu moja, imetoka na nywele, jasho linamtoka hapa jamaa hadi huruma. Atleast zingekuwa za karatasi may be zingesalenda kwa maji, but ni hizi za nailon. Nimemwambia naenda kutafuta msaada, ndo nikasema may be naweza pata msaada hapa.

Ni solution gani ambayo inaweza lainisha hizi gundi ili zitoke bila tatizo?
Please, this is serious.

Hiyo adhabu mbona ndogo sana, mnaifahamu adhabu ya jehanamu milele? Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekkwisha kuzini naye moyoni mwake. Mathayo 5:28
 
mweeeeeeh hii mpyaa, ukibandua si inatoka na vinyweleo? Pure wax hiyo..... La alainishe solotep na maji ya uvuguvugu....njia yoyote lazima imletee jamaa maumivu......

Na itamfunza kuwa mwaminifu....

Usicheze na msichana mwenye maumivu ya moyo...iwe funzo kwa wanaume wote
 
Happy Eid wote., ingawa najua kwangu Eid probably sijui itakuwaje.

:focus: Nimepigiwa simu na rafiki yangu like 30 minutes ago kaniambia ana matatizo na amenicall mimi kwa kuwa ni mtu wake wa karibu sana. Wakati ananicall me nilikuwa najiandaa kutoka, lakini akasisitiza sana. Nikasema ngoja nikamsikilize.
Akaniambia nikifika nipite room kwake direct, nikasema sawa ila sitokaa sana, hakujibu neno.

Mi huyo nikachukua ndinga hadi kwake, kama alivyosema nikapita moja hadi room kwake, nilichokiona hakyanani sikuwahi fikiria kuna vitu kama vile. Jamaa alikuwa kalala kitandani mwili mzima kapigwa soltap(Zile karatasi gundi) mwili mzima mbaya zaidi jamaa ana nywele za kumwaga mwilini hadi huwa tunamtania kuwa yupo still kwa transision kuwa binadamu kamili.

Nikapigwa na butwaa, nikauliza ndo mauza uza gani tena hayo, akasema hivi, nanukuu, "Mdogo wangu hii dunia we iache kama ilivyo, najua nastahili adhabu lakini sio hii".
Ikabidi nimuulize nini hasa kimemfanya akufanyie hivo? Jamaa akasema kuwa F alimfumania jamaa anamkiss mdada mwingine bar. Ikabidi nimcall huyo F kumuuliza why amechukua uamuzi kama ule binti akasema amevumilia amechoka, kumbe ashamfumania jamaa sio kukiss tu zaidi ya mara nne. Binti alichoamua ni kumdrug msela then akambeba hadi home. Akamchojoa nguo zote kisha akampiga soltape mwili mzima, I mean except viganjani na kichwani na kwa nyayo.

Nimejaribu kunyofoa sehemu moja, imetoka na nywele, jasho linamtoka hapa jamaa hadi huruma. Atleast zingekuwa za karatasi may be zingesalenda kwa maji, but ni hizi za nailon. Nimemwambia naenda kutafuta msaada, ndo nikasema may be naweza pata msaada hapa.

Ni solution gani ambayo inaweza lainisha hizi gundi ili zitoke bila tatizo?
Please, this is serious.

Safi sana,vipi dudu imepigwa plasta na yenyewe!natamani kumwona huyo binti maana anatufaa hapa usalama wa taifa!!!hahahaaaaahh,looh!
 
Back
Top Bottom