The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,805
Ndo nashangaaAjabu wewe ni member huko ila ujumbe unautuma jf.
Mkuu kule huwezi kuanzisha mada kama huku. Labda kwa kua hujui ile mitandao inafanyaje kazi usingeandika hivi.Ajabu wewe ni member huko ila ujumbe unautuma jf.
Kuna wanawake wa maana sana kule sio wauza nyapu tu.Dating apps, mitandao ya Machangu na wauza mbususu
Hii inaitwa "hook up"/showtime/danga.Dating apps, mitandao ya Machangu na wauza mbususu
Ha ha ha ha ha .Niliingia tinder nikamtokea manzi mmoja akajinia juu eti yeye sio malaya bali anauza nguo. Nilikasirika nikamuuliza umeona hii ni Kikuu au Kupatana.com
HahahaNiliingia tinder nikamtokea manzi mmoja akajinia juu eti yeye sio malaya bali anauza nguo. Nilikasirika nikamuuliza umeona hii ni Kikuu au Kupatana.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] karucee Leo kakutana na hakimu , kahukumiwa akanyoosha na mikonoWacha weeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya bana. Kupanga ni kuchagua.
Acha mwamba ale mbususu, unaweza ukafa hata kwa kugongwa na boda bodaUzinzi utakuua. Shenzy.
Thread 'Nimelikoroga tena, natakiwa kuanza PEP leo' Nimelikoroga tena, natakiwa kuanza PEP leo
Bora umeleta link ya tukio lake la karibuniUzinzi utakuua. Shenzy.
Thread 'Nimelikoroga tena, natakiwa kuanza PEP leo' Nimelikoroga tena, natakiwa kuanza PEP leo
Kumbe unanunua makahaba?Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa.
Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating apps, mtu anajiunga eti anatafta marafiki, marafiki? Hao marafiki umewakosa Facebook, Instagram, Twitter ama hata huko kazini kwako ama kanisani uje kuwatafta Tinder?
Datings apps kazi yake ni 2 tu, ama unatafta long term relationship ama hook up basi. Sasa unakuta mle watu wanataka marafiki na mbaya zaidi unakuta mle mtu eti anauza vitu anatafta wateja. Na kuna kipindi niliwahi kukutana na watu wa network marketing kina Good Morning qnet na wengine wanatafta watu wa kuwapa fursa. Unajiuliza WTF.
Dada zangu, zile ni Dating Apps na kutaftia mume, mke, mchepuko ama mshikaji wa kula nae utamu once in a while kama mtu wako anazingua na sio za kutaftia marafiki.
Kwa mimi na wengine ambao muda wa socialization ni mchache, huku ndio tunakoponea. Sasa usije huku kutuambia unatafta marafiki. Hao kawataftie kwenye social media nyingine na sio dating apps. Msituharibie michongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ajabu wewe ni member huko ila ujumbe unautuma JF.