Wadada acheni maringo yasiyokuwa na tija

Wadada acheni maringo yasiyokuwa na tija

Kuna demu hapa mtaani black ana sura ya kawaida sana ila ukimtongoza anaweza kukupiga hata kofi anakwambi:hataki mambo ya kise#ng huyu dem sasa ana miaka 17 wahuni wote mtaani wamegonga mwamba tusema hawana mpango nae hata kidogo YANI BADO NI BIKRA tunamwita jike dume japo ana msambwanda ila sura ya babu yake

wadada acheni malingo yasiokua na tija sura huna unalinga
dah!
na sura ya dingiake but still kakuchomolea gentleman?

there must be something wrong somewhere 🐒
 
Kuna demu hapa mtaani black ana sura ya kawaida sana ila ukimtongoza anaweza kukupiga hata kofi anakwambi:hataki mambo ya kise#ng huyu dem sasa ana miaka 17 wahuni wote mtaani wamegonga mwamba tusema hawana mpango nae hata kidogo YANI BADO NI BIKRA tunamwita jike dume japo ana msambwanda ila sura ya babu yake

wadada acheni malingo yasiokua na tija sura huna unalinga
Miaka 17 ni mtoto na sio demu.
 
Mtoto wa kisingidani umeongea ukweli, mwanamke awe na class ndio thamani yake inaongezeka. Ukikubali kila mtu unakuwa shamba la bibi..
Kweli legend.

Wababa mtusaidie kwenye hili, wanaume wenzenu huku nje si wazuri kwa watoto wa kike. Sio rahisi ila tusaidiane kuminimize risk.
 
Ndo pale unafika miaka 36 huna mahusiano yanayoeleweka, mbona utamtafta hata mzabzab akuoe na utamkosa 😁 binti kiziwi
Hayo ni matokeo mojawapo lakini sio matokeo “yote”

Kwangu mimi akifika 36, ana jitegemea, ana kazi/biashara, ana uchumi kiasi, na ana future nzuri ya uchumi she’s good.

Hakuna mwanamke wa hivi atakosa mahusiano/ndoa.
 
Kuna demu hapa mtaani black ana sura ya kawaida sana ila ukimtongoza anaweza kukupiga hata kofi anakwambia hataki mambo ya kijinga huyu dem sasa ana miaka 17 wahuni wote mtaani wamegonga mwamba tusema hawana mpango nae hata kidogo YANI BADO NI BIKRA tunamwita jike dume japo ana msambwanda ila sura ya babu yake

wadada acheni malingo yasiokua na tija sura huna unalinga
Kwani shule bado tuu hamjarudi?
 
Mwache akue shenzi type

Unataka umuharibu Binti mwishoni uje na upuuzi wa kusema hana misimamo!!

Hulka ya mwanamke ni kuringa, hata akiwa na sura ya baba akajua kuwa class aseeh anakuwa ana vibe muda wote

Ttzo mnavamia makurumbembe.....

Eniwei Leo nimesikia mdada anaomba kununuliwa supu huku akimwambia huyo jamaa ndo maana huna sura nzuri duuh 🤔
 
Kuna demu hapa mtaani black ana sura ya kawaida sana ila ukimtongoza anaweza kukupiga hata kofi anakwambia hataki mambo ya kijinga huyu dem sasa ana miaka 17 wahuni wote mtaani wamegonga mwamba tusema hawana mpango nae hata kidogo YANI BADO NI BIKRA tunamwita jike dume japo ana msambwanda ila sura ya babu yake

wadada acheni malingo yasiokua na tija sura huna unalinga
Mkuu,

Kuringa ni haki yao ya kibinadamu. Sura iwepo au isiwepo.

Kwani lazima iwe huyo?

Na kama sira hana mnamfuata kwa nini?

Mtoto wa miaka 17 ujue kuna kesi ya kubaka (statutory raoe) na miaka 30 jela bado hapo, unaelewa hilo?
 
Back
Top Bottom