Wadada acheni kunywa pombe

Pombe hatuachi, nini wine dompo buku ten hiyo buku ten nimekunywa viroba jogoo 10 na chenji napewa.... Tafadhali tena tafadhali sana
Duuh..Viroba!!!You ril need some church mpendwa
 
mmh makubwa...
siwez acha japokuwa sipo addicted nayo... waiter ongeza balimi baridi
 
Na wanawake wakilewa wanatoa MATUSI MABAYA sana, sijui kwa nini?! Kuna Bar huwa naenda kuangalia MPIRA, yaani wakilewa huwa natamani kuondoka.
Wanataka nao waonekane vidume.hawajari chochote.wengi wanaofikia hatua ya kulewa ni waliopinda.
 
unabahati mkuu ungeweza kulewa wewe yeye akawa mkavu! wanawake wengine balaa.

Acha tu wanawake wengine wanaonekana classic lakini ni wa melo mbayaa. Anataka akutie hasara on the first date. Tehe
 
Nakumbuka kuna mtoto flan nilimtoa out nikitegemea atakunywa chupa kadhaa atalewa baadae nikapige show. Basi yule mwanamke akawa anabugia pombe kama ngamia alaf halilewi sasa. Nilimind kweli na ile bill acha tu. Lol
Muwe mnawakagua kwenye mapochi yao,wanatembea na blueband kwenye pochi zao wakianza kulewa wanaenda toilet wanailamba kiasi. Akirudi kwenye Meza yuko fresh pombe yote imekata
 
Acha tu wanawake wengine wanaonekana classic lakini ni wa melo mbayaa. Anataka akutie hasara on the first date. Tehe
mmoja nilitoka naye kahitaji wine nikanunua chupa.ilivyofutika sikuamini!.Wine sio ya kunywa kasi kama maji! binafsi.siimalizi hata kiafya haishauriwi! maksi za huyo Dada zilishuka graph faster.
 
Muwe mnawakagua kwenye mapochi yao,wanatembea na blueband kwenye pochi zao wakianza kulewa wanaenda toilet wanailamba kiasi. Akirudi kwenye Meza yuko fresh pombe yote imekata
kumbe wabafanya hujuma! hataree
 
mmoja nilitoka naye kahitaji wine nikanunua chupa.ilivyofutika sikuamini!.Wine sio ya kunywa kasi kama maji! binafsi.siimalizi hata kiafya haishauriwi! maksi za huyo Dada zilishuka graph faster.

Ukitaka mwanamke achanganyikiwe usimuongelee mbovu ukiwa nae ila muonyeshe umemdharau from head to toe. Make her know umemshusha value. Trust me anaweza hata ku block iwe whatsapp au fb na ukimeet nae iwe individual au akiwa na rafiki zake atakua anakukimbia (aibu).
 
Unawaharibia wanaume wasiojua kutongoza, wanasubiri dem alewe ambake
 
Muwe mnawakagua kwenye mapochi yao,wanatembea na blueband kwenye pochi zao wakianza kulewa wanaenda toilet wanailamba kiasi. Akirudi kwenye Meza yuko fresh pombe yote imekata
Ulifikwa nini mjomba? Hii kali sijawahi isikia ila umesahau kuwa tumezaliwa tofauti kila mtu ana hila zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…