Wadada acheni kunywa pombe

Ndege wafananao...! Unakula mate ya mkeo/girlfriend huku mdomo unamuka kilauri...ptuuu
 
Nakumbuka kuna mtoto flan nilimtoa out nikitegemea atakunywa chupa kadhaa atalewa baadae nikapige show. Basi yule mwanamke akawa anabugia pombe kama ngamia alaf halilewi sasa. Nilimind kweli na ile bill acha tu. Lol
 
Pole sana...wengine ni virimiti vya pombe.
 
Nakumbuka kuna mtoto flan nilimtoa out nikitegemea atakunywa chupa kadhaa atalewa baadae nikapige show. Basi yule mwanamke akawa anabugia pombe kama ngamia alaf halilewi sasa. Nilimind kweli na ile bill acha tu. Lol
unabahati mkuu ungeweza kulewa wewe yeye akawa mkavu! wanawake wengine balaa.
 
Na wanawake wakilewa wanatoa MATUSI MABAYA sana, sijui kwa nini?! Kuna Bar huwa naenda kuangalia MPIRA, yaani wakilewa huwa natamani kuondoka.
 
Teh teh..Mkuu nimependa research yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…