WamLola
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 343
- 122
Habari wana JF,
Leo nimeona niwakumbushe wadada juu ya maisha ya kitapeli na uongo wanaoishi nao.
Hivi majuzi niliwasili Jiji la Makonda katika utekelezaji wangu wa majukumu kituo change cha kazi kiko mkoani. Siku moja mida ya jioni wakati nimekaa katika baa moja kubwa maeneo fulani ya jiji kwa pembeni yangu niliona binti amekaa peke yake huku akiinywa bia yake(smirn off) bia hiyo inaonekana ilikuwa ya muda mrefu kama vile kuna mtu anaemsubiri. Basi kwa uzalendo wangu juu ya wanawake nikaamua kumuita ajumuike nami.
Kabla hatujaongea mengi dada ameshaita bia na ameshaagiza chakula chipsi kwa samaki nikashangaa du!
Nilimnunulia kama bia tatu na chakula kasha baada ya hapo nikamdrop kwao nami nakarejea nyumbani. Tulibadilishana namba usiku ule.
Kesho jioni akanirukia hewani akauliza nilipo nikamuita akanywa na kula. Sasa nikamwambia nataka nikugegede ila nilimwambia wazi kwamba nina mke na watoto ila nataka tu ladha yako.
Looohhh mdada akaniambia poa ila baby kama unataka kunifurahia unigegede vizuri nataka unipangie chumba.
Nilimuuliza kwani hauna boyfriend akadai oohhh ile jana ndio nimetoka kuachana nae nikamuuliza kwa sasa unaishi wapi akajibu kwetu.
Nikamuuliza boy wako alikuwa amekupangia akajibu hapana nikamuuliza alikuwa unampia wapi utamu akadai lodge au kwake. Nikamwambia nikome kwa hiyo mimi ndio wa kukulia chumba kwa kukupangia yupo ili ufaidi vizuri.
Loooh wadada wa Dar es Salaam achene hayo hatuibiwi hivyo.