Wadada acheni kuishi maisha ya utapeli

WamLola

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
343
122
Habari wana JF,

Leo nimeona niwakumbushe wadada juu ya maisha ya kitapeli na uongo wanaoishi nao.

Hivi majuzi niliwasili Jiji la Makonda katika utekelezaji wangu wa majukumu kituo change cha kazi kiko mkoani. Siku moja mida ya jioni wakati nimekaa katika baa moja kubwa maeneo fulani ya jiji kwa pembeni yangu niliona binti amekaa peke yake huku akiinywa bia yake(smirn off) bia hiyo inaonekana ilikuwa ya muda mrefu kama vile kuna mtu anaemsubiri. Basi kwa uzalendo wangu juu ya wanawake nikaamua kumuita ajumuike nami.

Kabla hatujaongea mengi dada ameshaita bia na ameshaagiza chakula chipsi kwa samaki nikashangaa du!

Nilimnunulia kama bia tatu na chakula kasha baada ya hapo nikamdrop kwao nami nakarejea nyumbani. Tulibadilishana namba usiku ule.

Kesho jioni akanirukia hewani akauliza nilipo nikamuita akanywa na kula. Sasa nikamwambia nataka nikugegede ila nilimwambia wazi kwamba nina mke na watoto ila nataka tu ladha yako.

Looohhh mdada akaniambia poa ila baby kama unataka kunifurahia unigegede vizuri nataka unipangie chumba.

Nilimuuliza kwani hauna boyfriend akadai oohhh ile jana ndio nimetoka kuachana nae nikamuuliza kwa sasa unaishi wapi akajibu kwetu.

Nikamuuliza boy wako alikuwa amekupangia akajibu hapana nikamuuliza alikuwa unampia wapi utamu akadai lodge au kwake. Nikamwambia nikome kwa hiyo mimi ndio wa kukulia chumba kwa kukupangia yupo ili ufaidi vizuri.


Loooh wadada wa Dar es Salaam achene hayo hatuibiwi hivyo.
 
Acheni ushamba nyie WAKUJA....Ukiona ngedere huku mjini ujue ana mwenyewe. Hao wa aina hio tunakutana nao kila siku tunawatazama tu sasa wewe unaingia mjini kwa pupa unavamia unajiona kidume.
 
Acheni ushamba nyie WAKUJA....Ukiona ngedere huku mjini ujue ana mwenyewe. Hao wa aina hio tunakutana nao kila siku tunawatazama tu sasa wewe unaingia mjibi kwa pupa unavamis unajiona kidume.
anaombwa ampangie mtu chumba mjini wakati mwenyewe hata hakai mjini . hahaaa mkuu leo twende master club kwa wazee wenzetu hakuna kupangishiana vyumba
 
anaombwa ampangie mtu chumba mjini wakati mwenyewe hata hakai mjini . hahaaa mkuu leo twende master club kwa wazee wenzetu hakuna kupangishiana vyumba
Masters siji, kuna wazee pale najua washakupitia, sitaki kujichoresha.
 
anaombwa ampangie mtu chumba mjini wakati mwenyewe hata hakai mjini . hahaaa mkuu leo twende master club kwa wazee wenzetu hakuna kupangishiana vyumba
Umeona eeh Unaingia maeneo flani Hivi unagegeda hata vitatu kwa mwekundu na mnasahauliana.
 
Hela uliospend hata laki haikufika unaanzisha thread. Wenzako wanapeleka Toyota Dubai shopping tena wanafikia 5* hotel na wa kurudi wanabwagwa chali lakini wako kimya.
Unaonekana ni moja ya wauzaji wakubwa wa Utamu kwa dakika chache maana umeleta yale unayoyafanya. Pelekwa Dubai na ukirudi na ukimwi juu
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Habari wana JF
Leo nimeona niwakumbushe wadada juu ya maisha ya kitapeli na Uongo wanaoishi nao
Hivi ,majuzi niliwasili Jiji la Makonda katika utekelezaji wangu wa majukumu kituo change cha kazi kiko mkoani. Siku moja mida ya jioni wakati nimekaa katika baa moja kubwa maeneo Fulani ya jiji kwa pembeni yangu niliona binti amekaa peke yake huku akiinywa bia yake( smirn off) bia hiyo inaonekana ilikuwa ya muda mrefu kama vile kuna mtu anaemsubiri. Basi kwa uzalendo wangu juu ya wanawake nikaamua kumuita ajumuike nami.

Kabla hatujaongea mengi dada ameshaita bia na ameshaagiza chakula chipsi kwa samaki nikashangaa duuuuuu

Nilimnunulia kama bia tatu na chakula kasha baada ya hapo nikamdrop Kwao nami nakarejea nyumbani. Tulibadilishana namba usiku ule.

Kesho jioni akanirukia hewani akauliza nilipo nikamuita akanywa na kula. Sasa nikamwambia nataka nikugegede ila nilimwambia wazi kwamba nina mke na watoto ila nataka tu radha yako.

Looohhh mdada akaniambia Poa ila baby kama unataka kunifurahia unigegede vizuri nataka unipangie chumba . Nilimuuliza kwani hauna boyfriend akadai oohhh ile jana ndio nimetoka kuachana nae nikamuuliza kwa sasa unaishi wapi akajibu kwetu.
Nikamuuliza boy wako alikuwa amekupangia akajibu hapana
nikamuuliza alikuwa unampia wapi utamu akadai lodge au kwake
Nikamwambia nikome kwa hiyo mimi ndio wa kukulia chumba kwa kukupangia yupo Ili ufaidi vizuri


Loooh wadada wa dar es salaam achene hayo hatuibiwi hivyo.
mimi sijakuelewa vizuri, akili zenu mnazijua wenyewe
kwani alikuomba umuite? acha umpangishie kabisa nyumba tena ulipe miaka mitano

akili itakukaa vizuri utakapojua una jukumu gani la familia yako. mkome kabisaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna mmoja namuonaga kwenye bar fulani yeye huwa anakuja na mtaji wa bia moja, anailamba lamba weeee huku akikodolea macho vidume vinavyokula maisha hapo.

Mwisho wa siku anadandia mwanaume naye anakula maisha na mwisho wa siku anaenda kupigwa miti.

Hivi nyie wadada haya ndio maisha mliyoyachagua? Yani tuseme Mungu kawapa hizo papuchi ziwe mtaji?

Doh kweli maisha haya jamani, kuna mambo mengi yakushangaza
 
Wadada wa mujini ni shida! Unaweza mkuta anakunywa bia ya bei nafuu na kwa spidi ya Vitz katika kunyonya wese. Unapompa ofa tu, ataanza kuagiza bia za bei kali na atazinywa kwa spidi ya Vogue linavyonyonya mafuta! Yani ni walafi kama nini!
 
Hela uliospend hata laki haikufika unaanzisha thread. Wenzako wanapeleka Toyota Dubai shopping tena wanafikia 5* hotel na wa kurudi wanabwagwa chali lakini wako kimya.
Mugabe kataka kuonga nchi na yupo kimya vibia vyako tena vya uchochoroni huko unabweka kweli kuwa gentleman ni kazi tunaweza wachache
 
Bila shaka hapo ulipokiwa ni Ambiance. Ila mimi nina swali vpi uligegeda au ndio adi uwe sponsor??
 
Hapo alimanisha kwamba panda dau, ukale mzigo, na siyo kama ulivyofikiria wewe...

Ungejiongeza na kumalizana nae...

cc: mahondaw
 
Mkuu bia tuu unalalamika !!..watu wanahonga ad nchi na hawaoni jau...salalaa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom