Wadada acheni kuendekeza njaa

Wapo kikazi zaidi
Kweli wadada acheni kujilegeza umeambiwa huyo mwanaume akikutongoza kawa mzazi wako gafla
 
toa tu vocha na mengineyo sababu uzinzi una gharama zake
 
Kwa staili hii wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji ha ha haaa
 
ungemwambia mwajuma tu kua hela huna kuliko kutujazia mada humu[emoji23]....

ila pole sana!
usipende vitu vya bei kali
 
Aiseeee.....kwa namna hii.........
Wanaume wameisha kabisa.......hawapo tena.......
Tupo bhanaaaaaaaa ila nyie ndio mnaturingishia asali bhana,mara niko Barbados mara Lanzarote mara grand canaria yaani ni sheeeeeeeeeeeda tu,tukilalamika oooh hakuna wanaume siku hizi oooh wanaume wa Dar,basi wapeni Wachina maana hakuna namna coz siku hizi kila kitu ni cha Mchina,ngoja mzalishwe watoto wenye macho kama wameumwa na nyuki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…