Wadada acheni kuendekeza njaa

Wadada acheni kuendekeza njaa

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,475
Yani imekuwa ni kero,unakuta msichana unamtongoza mchana na anakubali, ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara sijala.

Sasa hadi mtu unajiuliza kwamba,kwani hapo mwanzo kabla mi sijamtongoza ina maana hela ya kula alikuwa anatoa wapi? Na vocha pia alikuwa anatoa wapi? Wanawake jamani acheni njaa hizo.
 
Yani imekuwa ni kero,unakuta demu unamtongoza mchana na anakubali.ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara sijala.sasa hadi mtu unajiuliza kwamba ,kwani hapo mwanzo kabla mi sijamtongoza ina maana hela ya kula alikuwa anatoa wapi? Na vocha pia alikuwa anatoa wapi? Wanawake jaman acheni njaa hizo
If you can't sweat for her at work, Dont sweat on her chest..
 
c6f632748ba01d4022582cf757bd4f8c.jpg
 
Ilo sio jambo la ajabu sbb kizur lazima ugaramie jomba weh unataka ule tunda tu bure bure hapan toa hela eeh toa hela yan ukitaka azid kupagawa toa hela weh toa hela kakupib tuma vocha yan toa hela hela hela hela hela tu.....
 
Ilo sio jambo la ajabu sbb kizur lazima ugaramie jomba weh unataka ule tunda tu bure bure hapan toa hela eeh toa hela yan ukitaka azid kupagawa toa hela weh toa hela kakupib tuma vocha yan toa hela hela hela hela hela tu.....
utamuua mtoa uzi vevee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom