Ni kweli dada nakubaliana na wewe had umpende na km ndo hana chengi basi hata km ulikua unampenda utaanza kumuona lonya. Sasa subiri utakaye mpenda had K itoke mvi
Hivi wewe ni mwalimu?
Kuna tatizo?? Ikiota mvi we itakukera nini?? Kwa hiyo niolewe tu na lijitu ambalo silipendi? Over my dead body
Hata mlima kilimanjaro uhamie Kigoma, babu ataendelea kuniita mseja.
Wewe sio mseja?
naam, na zaidi ya mwalimu. Kwa nini umeuliza hivyo?
yupo m1 ana km 35 yrs, hapa ofisini, jn kanibwatiza bila ht sababu! nimemuangalia tu!
I am back Sir Eiyer....! Whats new anyway?Well,it's good to see you here too ....
Welcome again,JF imebadilika sana now days,sio kama ile ya wakati ule ya akina Dark City , Gagurito, Cantalisia , AshaDii , Lizzy , steveDii , Teamo , Konakali , snowhite , Kaizer , Asprin , klorokwini , Kaunga na wengine ambao walikuwa wanaifanya JF kuwa kama chuo cha mambo mengi
Nadhani sasa unaweza kuonekana mgeni sana hapa ......!!