FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Michelle upo bidada unapotea hasa why?Comparison is the thief of Joy....maisha ya kujilinganisha na fulani ndo maana wanakuwa na visirani....na wanatoa nafasi ya watu kuwaumiza kwa masengenyo....wanasema kill them with happiness. lakini wakiendelea kuwa watu wa kulalamika,wanyonge na kuona kama kutokuolewa ni aina fulani ya ulemavu au laana na kuwa desperate wataishi kwa taabu sana.
Ukweli utabaki kuwa kuna vitu haviko ndani ya uwezo wako,huwezi lazimisha mtu akuoe au aone unafaa kuwa mke,ukifanya hivyo una utumwa wa maisha,kufurahisha dunia kumbe ndani unaungua..kaa karibu na Mungu wako na mwambie mapenzi yako yatimizwe,unipe furaha kwa lile ninalodhani nalihitaji ila hujanijibu kwa kuwa sababu waijua wewe.
Usijiulize nilipanga? kwa ufupi ni machache sana unayopanga,hukupanga kuzaliwa,kuwa mwanamke,kuwa na elimu uliyonayo,kuwa na mafanikio uliyonayo au hata mapungufu....acha kupoteza muda na maswali usiyoweza pata majibu mazuri, labda ujiulize mienendo yangu na tabia zangu zinawavuta watu sahihi kwangu?
Ukimaliza muombe Mungu na urekebishe pale inapobidi the rest muachie Muumba wako aliyekujua hata kabla ya kutungwa tumboni kwa mama yako.
Last but not least....bado unaishi...subira na moyo wa shukrani kwa mazuri uliyonayo itakupa amani. Usiishi kuhesabu uliyokosa tu,tizama Mungu aliyokupa.
Na ni haya maneno ndio yanakufanya usipate... mwanaume kuwa na kiburi mbele ya mwanaume, kujisikia, kujiona yeye ndio huwezi kupata wa kukuoa, heb jarib kumuonesha mwanaume tabia nzuri, jarib kujishusha ( sio mpaka ujiumize kwamba unanyanyasika lakin bado unaendelea kujishusha).. its just simple kuolewa Ila sometimes I think nyie wenyewe tu ndio ndio mnajikuta hamtaki kuolewa coz ukitaka unaolewa
Yaani imekua tabu watu hawali vikalika, hawasomi vkasomeka hawatulii makazini kisa kuwasema wadada wa watu.
Hivi jiulizeni kuna mtu anapenda kufika 30 bila kua na mahusiano ya kueleweka.
Hakika hayupo, na hii inatokana mara nyingi na kutojaaliwa maybe kutokutana na yule mwenye vigezo uvitakavyo. Ukizingatia husband material wachache sana siku hizi.
Na ndoa nyingi za vijana full kulazimishana lazima unioe dot com. Mara nying na mimba juu! Na kwa mwanamke mwerevu anayejitambua sidhani kama yuko tayari kuolewa na mtu baki tu eti kisa 30 inakarbia.
Jamani tukubali msingi wa ndoa ni upendo kama hawajaridhika na watu wa kuwapenda for life (katika magonjwa na afya).
Muwaache hakuwapanga iwe hivi inaniuma kuona mnawasakama hadi mnawa affect kisaikolojia. Imagne mume anayefaa humuoni bado jamii imekuandama.
Nilipanga mimi? Mnapelekea watu kuwa na visirani vya ajabu maofisini, nyumbani n.k let them live their lives, kama we umebahatika kuwa na happy family am happy 4 you.
Wadada wa watu muwaache

Well,it's good to see you here too ....
Welcome again,JF imebadilika sana now days,sio kama ile ya wakati ule ya akina Dark City , Gagurito, Cantalisia , AshaDii , Lizzy , steveDii , Teamo , Konakali , snowhite , Kaizer , Asprin , klorokwini , Kaunga na wengine ambao walikuwa wanaifanya JF kuwa kama chuo cha mambo mengi
Nadhani sasa unaweza kuonekana mgeni sana hapa ......!!
Halafu tunasemaga kila siku apa sie wakongwe kwamba ndoa sio ya kila mtu ndio maana kuna matowashi na waseja.
Sasa kwamba mdadq anafikisha 30 anapanick sidhan kama ni kweli kwa wengi. Nawafahamu wengi walioko 30s and sweet......hawajakariri kuolewa....
Kundi hili na linazidi kuongezeka kutokana na LAANA TU,hakika chunguza utagundua wanawake hao walishaumiza mwanaume huko nyuma,na huwa hivyo kwa sababu hawataki kutambua kuwa walifanya kosa hilo la maumivu ya moyo kwa mtu nakutubu kwa dhati...na hayo ndo huwa malipo yao..
Ukiwa 30+ pia inakuwa bomba zaidi. Isije kuwa we mwenyewe mwathu uko na 25 afu unatafuta 30+. Yatakuwa maji marefu afu utashindwa kuyaogaBinafsi nawapenda sana hawa wadada wa age hiyo tajwa, kwanza mara nyingi huwa wako real na wameshaachana na maisha fake ya wasichana wengi wamjini wa age ya chini yao. Hawa wanayajua maisha, wanajua athari za kuchepuka na kutendwa katika mahusiano, yaani ni vile tuu sijakutana na ninaemuhitaji maana huwa nawaheshimu sana na sitaki kuwa sababu ya kuumia kwao ila ningetangaza ndoa fasta. hawa wadada nawakubali saaana
Kuwa mwelewa,nikisema am above 30 haimaanishi sijawahi kuwa kny mahusiano,nimekuwa na wanaume sema tu sijampata 'potential candidate',,,,,wa kuwa mume wangu ambaye tutakuwa compartible in bed,na baba bora wa familia yangu...
Hii imeingia kwanye hansardMkuu inabidi tuanzishe maandamano kama ya UKAWA chini ya katibu wetu babu Asprin ....lol!
hongera! Kisambaze tu, c umepewa bure.
usikate tamaa.......... .......
Sikupendi kama zamani. Sijui kwanini...😛hoto:
Hapo red: Hakyamungu wala hata sithubutu.umeni miss tu sio kwamba hunipendi....hata mi kuna wakati naona hivyo ila nakuja kugundua hakuna mwingine....nimerudi mdogo mdogo na nafurahi mnooo nawe leo umepita hapa....you are missed sanaaa and LOVED!
NB: Kwa umri huu usije ukajaribu kunipotezea,naanza mid life crisis na nahitaji upendo....lol