Wadada above 30

Endeeleni kuchagua wame kama nyanya muone kama mtaolewa.

Ukitaka machaguo yako, zaa ukuze utakavyo aje akuoe.
 

kabisaaa na watutue... Midomoni mwao...
 
unahitaji mtoto au unahitaji ndoa,kama ni mtoto zaa ila kama ni ndoa subiri mapaka atokee
 
Si kweli wakati wote. Unachofikiri ni rahisi kwako, si rahisi kwa wote na mara zote. Hao above 30 kila mmoja ana historia yake na mipaka yake. Uliyepata Usimkashifu ambaye hajapata, maana hata ulichonacho hakina tofauti na kukumbatia maji.

Mzima rafiki?!
 
Hahaha kuna vituko Sana humu!
 
Kwani siku hizi kuna ndoa jamani!kuna harusi tu tunashow pale kwamba tumeoana bac, ndoa zilikua za mababa zetu .
 
Kundi hili na linazidi kuongezeka kutokana na LAANA TU,hakika chunguza utagundua wanawake hao walishaumiza mwanaume huko nyuma,na huwa hivyo kwa sababu hawataki kutambua kuwa walifanya kosa hilo la maumivu ya moyo kwa mtu nakutubu kwa dhati...na hayo ndo huwa malipo yao..
 
mmmh unaishi wapi huko ulikokosa mume mpaka umri huo

Kuwa mwelewa,nikisema am above 30 haimaanishi sijawahi kuwa kny mahusiano,nimekuwa na wanaume sema tu sijampata 'potential candidate',,,,,wa kuwa mume wangu ambaye tutakuwa compartible in bed,na baba bora wa familia yangu...
 

si useme tukuache? Naona unajichanganya mwenyewe tu!!
 
Mie am above 30,sijaolewa na siwazii.....nikimpata mume haya,nisipompata pia haya....

Na ni haya maneno ndio yanakufanya usipate... mwanaume kuwa na kiburi mbele ya mwanaume, kujisikia, kujiona yeye ndio huwezi kupata wa kukuoa, heb jarib kumuonesha mwanaume tabia nzuri, jarib kujishusha ( sio mpaka ujiumize kwamba unanyanyasika lakin bado unaendelea kujishusha).. its just simple kuolewa Ila sometimes I think nyie wenyewe tu ndio ndio mnajikuta hamtaki kuolewa coz ukitaka unaolewa
 

Mkuu ndoa haina formular....unaweza kujishusha na kufanya mema yote unayoyajua chini ya hili jua na bado mtu akakuona boya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…