Wachungaji baadhi yenu mnakera

Aliyekuambia shia waislam ni nan? Mm nazungumzia waislam. Mashia ni makafiri kama nyie tu. Hata mimi siwezi kuswal nyuma ya maisha maana si waislamu
Huwa nacheka sana sana ninapoona mashetani kama waisilamu wanajitapa mbele ya watu kuhusu Imani yao ya ki Lucifer hii
 
Duhh!hivi inakauje lakini?nnae rafiki yangu wamehama wanaishi mbaali sana lakini mchungaji hataki wahame kanisa anaishi mbaali sana almost 45k salary yake fungu la 10 anatoa km lilivyo acha sadaka nyingine!
 
Kama ni member wa evangelical church utalika tu hamna namna ingine
 
Nakumbuka maza angu mkubwa alipewa uzee wa kanisa. Watakuwa walikuwa wanamvuna haswa na ukaribu aliokuwa nao na yule mchungaji sina shaka alikuwaga anamgonga kabisa.

Maana mchungaji alikuwa kitu special sana yani. Nshapeleka sana bahasha kwake.
Hahaaa!jamaa una ujinga mwingii!!eti anamgonga kabisaa...kaàhhh
 
[emoji1787]
 
Rafiki yangu pia alidhulumiwa kiwanja na mchungaji wake!akauza hajampa pesa mpk kesho kuna watu wachungaji wanaafiki sana
 
Dini ni nini?
Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
 
Kuna mtu aliniambiaga hadi adhana yao ni tofauti... huwa natamani kujua what they really think.
Mada hii hapa tutakua tumeingilia Uhuru wa watu wengine ila mashia wao kwenye adhana kuna maneno wameongeza kidogo na wametoa mengine...
Ingekua ya waislamu ningekuelekeza kidogo kwa nijuavyo but in short mashia wanawakataa makhalifa wa3 baada ya Mohammad s a w wanamkubali Ally a.s..
Am sorry Mkulungwa mmeingiza visovyohusu kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…