Wachungaji baadhi yenu mnakera

Hivi mashia wanaamini nini?

Na ni akina nani?

Ni hawa wahindi akina aga khan au?

Darsa lake refu, ki nje wanadai wao waislam ila kiundani ukiingia kwenye dini wao wanatoka tena kwa makusudi, utakuaje muumini wa itikadi alafu umtusi kiongozi wako. Hao akina aga kani ni mashia ndio
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo utaumia sana ikiwa unabaniwa ila mchungaji anamwachia ajichotee![emoji23]
Yaani katika vitu ninavyopiga vita sana basi ni hii tabia ya kubaniwa kis€nge s€nge, ukizidisha spidi kidogo malalamiko, nauchukia huu upuuzi ki s€nge
 
Waislamu msione tu mkristo akilalamika kidogo hamkawii kuja na dini zenu, kwani umesikia mtoa mada anataka kuwa mwislamu

Mada ina husu dini, na kila siku mnalalamika kuhusu kutapeliwa na dini ni iman ambayo kiuhalisia inaongoza maisha na baada ya maisha. Sasa lazima tuseme kwamba hiyo si dini na wala sisi hatuwalazimisha maana tumekatazwa kulazimisha kwenye dini ila tunakumbusha maana ukumbusho huwafaa waumini.

Karibu katika uislam dini ya haqi
 
Tatizo lakuwa na karibu na kanisa halafu liwe jipya na halina watu wengi, kufatana fatana mmm mimi hata kama naabudu hapo maswala yakunifuata nyumbani bila taarifa sitaki
Me too
 
Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Ukiwa mgeni lazima uulizwe.


Huo ni utaratibu wa dini,kwahiyo wewe unaona hiyo dini ya majini ndiyo dini kwelikweli?
 
Dini ya haki au dini ya majini?
 
Sasa kaa kwa kutulia tukihitaji uislamu wenu tutakuambia.
 
Alilogwa na mchungaji.
 
Wasanii sana hao watu wakimteka kiakili mwanamke wako kazi unayo wana kauli mbiu ya kuwamaliza wanawake kuwa mume na mungu bora nini wakati mungu aliyesema ndoa na ziheshimiwe.
Wanawake walokole ni changamoto sana mpaka waje kuelewa unayosema.
 
Hapa ninapoishi kuna "maalimu" wa msikiti...

Lakini cha ajabu ni mganga wa kienyeji...

Wanakujaga watu wanataka maadui zao watupiwe majini...na huyo "maalimu" anafanya hivyo
Siri za wagonjwa na daktari wewe umezijuaje? Au wewe unaalikwa kama msikilizaji kwenye hizo huduma? Elezea tena kidogo tukuelewe vizuri.
 
Hapa ninapoishi kuna "maalimu" wa msikiti...

Lakini cha ajabu ni mganga wa kienyeji...

Wanakujaga watu wanataka maadui zao watupiwe majini...na huyo "maalimu" anafanya hivyo

Huyo ni tapeli kama ambayo walokole wanatapeliwa na mitume na manabii wa kileo.

Katika uislam kuwa mganga wa kienyeji ni ushirikina ambao unamtoa mtu katika uislam kama anatumia majini,uchawi na n.k maana ili iwe uislam ni lazma kujitenga na ushirikina na washirikina.
Lakini hao majin makanisani ndio wamejaa na ndio mtaji wao wa manabii wakileo wenyewe wakiyaita mapepo. Sijui unanielewa
 
Huyo mwanamke alikosea kuolewa na mtu asiye mshirika mwenzake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…