sijui ila sio mbaya kama waohahaha wee uzuri wako ukoje kwanza?
hapana kwa kweliinaonesha we mwenyewe mbaya
nikiwaza watoto kuchukua sura za baba zao nakosa nguvu kabisaunawatoa wap hao? unafaa uje kwa watu kama mimi.mahandsome yan ata tukizaa watoto wanakuwa gumzo kwa mtaa.na dunia.
kivipi tanzania ipo?wafanyie plastic surgery wawe jinsi utakavyo
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!
nazungumzia husband material ila awe na sura nzuriHahahaaa.........., kuna handsome boy wa ukwee mtaani kwetu ila hana kazi nadhani atakufaa kwa matumizi ya nyumbani na ndoa pia!!!!!!
pesa wanazo ,magari mazuri ,nyumba elimu ila mvuto hawana sura mbaya kweli kwelikwani shost vipi........?....hata pesa pia hawana........?
sijui kama picha za harusi nitathubutu kuweka facebook mwenzangu"Mwanamke shape tabia tutarekebishana
mwanaume pesa sura tutavumiliana......"