Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 Sep 19, 2011 #21 rejao said: huku wachumba wapo kibaaao!! Ukitaka..jaribu kupm id' yoyote unayoiona ya kike!! Click to expand... ngoja nianze kupm id za kiume
rejao said: huku wachumba wapo kibaaao!! Ukitaka..jaribu kupm id' yoyote unayoiona ya kike!! Click to expand... ngoja nianze kupm id za kiume
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Sep 19, 2011 #22 Dunia imeendelea, vijana wanatongoza na kupendana online.
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Sep 19, 2011 #23 Bebii said: ngoja nianze kupm id za kiume Click to expand... hahaha.... anza na yangu!! Nasubiri PM yako kwa hamu
Bebii said: ngoja nianze kupm id za kiume Click to expand... hahaha.... anza na yangu!! Nasubiri PM yako kwa hamu
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 Sep 19, 2011 #24 Wapo waliokutana humu na wameoana tayari. Wengine wapo kwenye maandalizi ya kuoana na wengine bado wana pm, hata no za simu bado!
Wapo waliokutana humu na wameoana tayari. Wengine wapo kwenye maandalizi ya kuoana na wengine bado wana pm, hata no za simu bado!
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,252 Reaction score 10,497 Sep 19, 2011 #25 Wachumba tupo kibao. Mi mwenyewe nishapata wangu.