Wachokonozi tv wana nondo sana

Wachokonozi tv wana nondo sana

tatizo wana hasira sana,hii inafanya watu wengine tuwaone wako frustrated zaidi na sio kwamba wameelimika zaidi.

maneno kama
washenzi,mazezeta,wajinga,mang’ombe,mafala,malofa ni kiunganishi sana katika sentensi zao dhidi ya waumini wa dini.

na changamoto nyingine,hawana majibu ya dhana wanayoipinga,unaposema Mungu,Yesu hayupo ni siasa,inabidi utwambie tafiti zako zinasimama na chanzo kipi cha ulimwengu.
maana hata science pia ni ya hao hao unaowaita wahuni.
 
Utofauti wao wa stress na vijana wa suma ni mdogo sana
 
Wao wanasema hawafundishi ila wanakufikirisha ukatafute majibu...
Kwasababu siye tunapenda kulishwa vitu ndo maana hatuwaelewi,....
 
Back
Top Bottom