Meli yao imeingia hapa dar TZ na wamekuja kutoa matibabu bure! Hivi ni matibabu ya waathirika wa dawa za kichina kukuza maumbile ama magonjwa yepi hayo? Jamani wadau tambizane maana maumbile yanazidi kuwa makubwa huku(muhogo) tutashindwa vaa vizuri sasa

wambwanda acha umbeaNaona Rose1980 kavutiwa na ndizi ya Kimbweka!!!!
kwan we umeiyona?unaweza kuwa nayo stl usijue km unayo au km kubwa au ndgo?Sema vizuri umeiona wewe:biggrin1::biggrin1:
kwan we umeiyona?unaweza kuwa nayo stl usijue km unayo au km kubwa au ndgo?
bye babu wewe naenda kuna naz mie!!!
Na viazi je?si muhogo peke yake
ndizi yako umeiona kaka?
.........................!!!!!!!!!!!!!! tuwe makini na ahadi zao....! maana kila mara unasikia, "tumeingia mkataba na wachina.....!!!!!!!!!!"wasije wakawa wamekuja kukipigia kura kyama kya mapindusi
.........................!!!!!!!!!!!!!! tuwe makini na ahadi zao....! maana kila mara unasikia, "tumeingia mkataba na wachina.....!!!!!!!!!!"
Tatizo tunaamini hivi; "Kila mchina ni mkandarasi", Kila mhindi ni daktari"...........!Tena wamekuja na meli tujue kwamba wako full equiped, masindano na mavidonge lakini mmmmh bora tuchunguze isije ikawa kuna mengine
wasije wakawa wamekuja kukipigia kura kyama kya mapindusi
Asavali, maana duh ilikuwa ni baraaa me sikuwesa kuiangalia mara mbili ile ndisi!!! :smiling:nimebadili avatar bana naona ishakuwa zengwe tayari:mmph: