Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Hawa hawezi kufanya hivi bila msaada wa wenyeji. Wenyeji pia wanatuibia umma. Ifike mahali tuanze kuambiana ukweli.Nipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.
Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na dhahabu ya kutosha! ambayo walienda kuiuza dar kwa mhindi mmoja hivi!! dhahabu hio iliuzwa kws Tsh 280 million.
Pili Kuna wachina wanafanya kazi bila kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini!! Wachina hawa wamekuwa wskiingia Kama watalii na kupotelea hapa nchini!!
Nazishangaa mamlaka!! hazilioni hili?wachina wanasafiri kwa gari kutoka dar hadi shelui bila kukamatwa njiani!? hili linafikilisha!!
Mara nyingi huwa wakienda watu wa uhamiaji pale mgodini, wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini, hutolewa hapo mgodini na kupelekwa maeno ya nkonkilangi na wakati mwingine hupolekwa ziwani doromon, inaonekana Kuna mkubwa huwa anajulisha!!
Leo nimeona Kuna watendaji ws serikali wamepita wakielekea mgodini, sijui Kama wanalijua hili!?
Tundu lissu anahusikaje na Marudio ya Sekenke?Ndiyo anachotaka Tundu Lisu
Umemuona ee?una IQ sawa na kuku
Ndio Kuna wakubwa wanawalinda hawa wachina! Kwanza huwa wanapewa taarifa kila mara, pale watu wa uhamiaji wanapoenda kufanya ukaguzi!Hawa hawezi kufanya hivi bila msaada wa wenyeji. Wenyeji pia wanatuibia umma. Ifike mahali tuanze kuambiana ukweli.
Asante, wataje pia.Ndio Kuna wakubwa wanawalinda hawa wachina! Kwanza huwa wanapewa taarifa kila mara, pale watu wa uhamiaji wanapoenda kufanya ukaguzi!
Mimi sijakosoa nimeuliza.Hapa lazima tupende nchi yetu, tukosoe kwa reasoning
Mkuu kwanza una uhakika gani kama ni kweli asemayo mleta uzi?Na hawa ndio watanzania ambao wengi wana ujinga kama huu na huu ni ujinga haswaa
Mtu anetoa taarifa kwa malengo mazuri kabisa dhidi ya wizi wa siri wa wageni dhidi ya rasilimali za taifa lakini wajinga na wasio nanuzalendo kama hawa wanaanza kukejeli kwakweli huu ni ujinga na kukosa uzalendo kwa taifa.
Ila mkuu kosa la huyu mtoa taarifa ni nini? Mbona kafanya Jambo jema sana, wenye mamlaka wanapaswa kuchunguza Kama kweli waloshughulikie.wamekuachisha kazi hapo mgodini ehh??
Wewe mtu ni wa ajabu sana, kosa lake huyu ni nini? Ina maana hapaswi kutoa taarifa kama hizi ili serikali ifanye kazi yake?Ishi na jali maisha yako utakuwa na amani. Mwanaume ni kazi siyo umbea umbea tu kuchongea wanaume wenzako.
Nataka ufanye kazi.
Sauh'waaa!
Huyo atakuwa ni takataka anayegawiwa vijisenti kidogo na wachina.....Wewe mtu ni wa ajabu sana, kosa lake huyu ni nini? Ina maana hapaswi kutoa taarifa kama hizi ili serikali ifanye kazi yake?
Jf mods, watu wa hivi wanaweza vipi kuendelea kuwa humu?
Wametorasha kilo mbili kaka mbona no kiasi kidogo Sana kwenye dhahabu au hauna taaarifa kamili million 280, kwa uwekezezaji wa dhahabu ni pesa ndogo sanaNipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.
Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na dhahabu ya kutosha! ambayo walienda kuiuza dar kwa mhindi mmoja hivi!! dhahabu hio iliuzwa kws Tsh 280 million.
Pili Kuna wachina wanafanya kazi bila kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini!! Wachina hawa wamekuwa wskiingia Kama watalii na kupotelea hapa nchini!!
Nazishangaa mamlaka!! hazilioni hili?wachina wanasafiri kwa gari kutoka dar hadi shelui bila kukamatwa njiani!? hili linafikilisha!!
Mara nyingi huwa wakienda watu wa uhamiaji pale mgodini, wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini, hutolewa hapo mgodini na kupelekwa maeno ya nkonkilangi na wakati mwingine hupolekwa ziwani doromon, inaonekana Kuna mkubwa huwa anajulisha!!
Leo nimeona Kuna watendaji ws serikali wamepita wakielekea mgodini, sijui Kama wanalijua hili!?
Yaani huwa nashangaa sana ati mzungu anakuja kuona wanyama. πππππNipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.
Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na dhahabu ya kutosha! ambayo walienda kuiuza dar kwa mhindi mmoja hivi!! dhahabu hio iliuzwa kws Tsh 280 million.
Pili Kuna wachina wanafanya kazi bila kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini!! Wachina hawa wamekuwa wskiingia Kama watalii na kupotelea hapa nchini!!
Nazishangaa mamlaka!! hazilioni hili?wachina wanasafiri kwa gari kutoka dar hadi shelui bila kukamatwa njiani!? hili linafikilisha!!
Mara nyingi huwa wakienda watu wa uhamiaji pale mgodini, wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini, hutolewa hapo mgodini na kupelekwa maeno ya nkonkilangi na wakati mwingine hupolekwa ziwani doromon, inaonekana Kuna mkubwa huwa anajulisha!!
Leo nimeona Kuna watendaji ws serikali wamepita wakielekea mgodini, sijui Kama wanalijua hili!?
mleta taarifa hana kosa lolote na wala sijasema kuwa anakosa. mimi nimemuuliza swali tu full stop.Ila mkuu kosa la huyu mtoa taarifa ni nini? Mbona kafanya Jambo jema sana, wenye mamlaka wanapaswa kuchunguza Kama kweli waloshughulikie.
Wewe unaweza kwenda China na kufanya Kama wao wanavyofanya huku?
wamekuachisha kazi hapo mgodini ehh??
Ndiyo anachotaka Tundu Lisu
Akili za kipumbavu kama hizi utazikuta tanzania tu.Acha umbea weweee
haya.Akili za kipumbavu kama hizi utazikuta tanzania tu.