Mkuu umenikumbusha mama mmoja alikuwa akiishi Geita anaitwa mama changanya, ana mtoto mmoja mzungu, mmoja mhindi, mmoja mchina na mwingine mwafrika. Alikuwa anafurahia sana hiyo sifa ya kuchanganya maana hata mwenyewe alikuwa akijitambulisha kwa jina hilo.mbona wabongo kibao wanamahusiano na wachina?nenda kwenye construction sites uone?tena wengine ni wake za watu! Mama ntilie nk!Si unajua mapenzi ya siku hizi pesa ndo inaongea
kumbe bongo ukiwa na camera megapixel 7 unaopoa mzigo?