Wachina waanza kuoa Dada zetu

Wachina waanza kuoa Dada zetu

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
chinese-man-with-black-african-women-01.jpg


chinese-man-with-black-african-women-560x373.jpg
 
mbona wabongo kibao wanamahusiano na wachina?nenda kwenye construction sites uone?tena wengine ni wake za watu! Mama ntilie nk!Si unajua mapenzi ya siku hizi pesa ndo inaongea
 
Nothing wrong..... according to me
 
Hawa wameshajilipua. Kule kwao kumejaa na wanawekewa viwango vya watoto wanaoruhusiwa kuzaa.
 
Chukueni tu maana dada zetu wengi wana lost tu kitaa huku
 
mbona wabongo kibao wanamahusiano na wachina?nenda kwenye construction sites uone?tena wengine ni wake za watu! Mama ntilie nk!Si unajua mapenzi ya siku hizi pesa ndo inaongea
Mkuu umenikumbusha mama mmoja alikuwa akiishi Geita anaitwa mama changanya, ana mtoto mmoja mzungu, mmoja mhindi, mmoja mchina na mwingine mwafrika. Alikuwa anafurahia sana hiyo sifa ya kuchanganya maana hata mwenyewe alikuwa akijitambulisha kwa jina hilo.
 
Kweli wachina hawana ubaguzi, baadaye wanaweza kuajiliwa kama walimu, polisi, manesi, wauza mkaa nk, lakini wahindi ndiyo hawafai!
 
Kuna tetesi kwamba wachina kabla ya kutoka kwao huwa wanachomwa sindano ya kuwafanya kukosa hisia za mapenzi kuepusha kuzaliana ovyo. Je hizo dawa zimeisha nguvu mwilini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom