Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

Acha mambo ya wazulu hapa kwetu Tanzania, hao wachina wanatusaidia sana sisi wasafiri
 

Welcome to the Adam Smith's World.... Free Market economy!
 
acha zako mkuu,nyie wabongo tatizo lenu munataka faida mara tatu,huduma zenu mbovu jeuri mumejaa ninyi,hamutaki kushusha nauli hata mafuta yashuke vipi,bora hao wachina wana wasikilza raia
 

hahahahahahah da kwl watu wamechoka
 

una akili mpaka nashangaa
 

Chukua Chako Mapema you know what I mean le ccm l, le gadem kutupeleka to hell you know,tumetaka wenyewe le uchaguzi is arround the corner you know october is too close usifanye makosa le ukawaz ndiyo tumaini letu na ukombozi wetu le chademaz don't make le gadem mistake you know cause opportunity never come twice
 
Last edited by a moderator:


Naafikiana nawe, mleta maada hajawa na hoja yenye mashiko, "kwa akili ya kawaida mchezaji wa timu A anaweza kulalamika juu ya yule wa timu B kwa kuwa anavaa jezi mpya kwenye kila mechi?" au mwenye duka A kumlalamikia mwenye duka Z kuwa amenakshi duka lake kwa rangi za kuvutia hivyo anawakosesha wateja watu wengine, haina mantiki.

Mleta maada alipaswa kulalamika endapo wachina wangekuwa wanavunja sheria au masharti ya usafirishaji, vinginevyo kila jambo ni kujipanga na kuingia kwenye ushindani.
 
Mtoa mada: na bado sasa waruhusiwe kumiliki banks.
Wewe kwanini ununue kukuuu kwa mchina? mejaa wivu wa kike na hata ukipata kuwa konda wa mchina utaidhi wateja kwa kuwa watz hamjui business...unalalamikia wachina kushusha nauli? Wao wanaweka maji ya diesel? Hebu acha utoto ingia kwenye soko la dunia uongeze uelewa. Kwanini msiungane watu 5 mnanunua jipya
 

Competition is a good thing in business
 
Sioni tatizo.Lalamikia fastjet ambayo ukichelewa ndege tiketi yako inaharibika unakata tiketi nyingine upya Hawa fastjet ni wazungu sijui warusi wale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…