majambazi wastaarabu?labda wewe mmoja wao,kama sio nakuombea ukutane naohuu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
Usalama utarudi tuu, nadhani polisi wamerudi sehemu zao za kazi, nahisi polisi wetu walikuwa tight Igunga kuhakikisha ushindi unapatikana.Walitangaza toka jana kwenye magazeti kadhaa, serikali imeifanya idara ya polisi ya kisiasa zaidi kuliko kiutendaji. Wametoa kipaumbele zaidi kwenye siasa
Barubaru,Kwani wasirudi kwao kama wanaona hali ya kiusalama sio nzuri Tanzania. Au wametenda maovu huko kwao ndio wakaamua kukimbilia Tanzania?
hawa jamaa wameandamana wako huku kurasini opp na jitegemee njia ya kwenda uhamiaji HQ wakilaani mauaji hayo na mh kova yupo hapo alizungumzia sakata hilo na amewaambia tayari watu watatu washakamatwa kuhusiana na sakata hilo
Kwani wasirudi kwao kama wanaona hali ya kiusalama sio nzuri Tanzania. Au wametenda maovu huko kwao ndio wakaamua kukimbilia Tanzania?
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
leo wachina wataandamana jiji dar es salaam wakiwa ndani ya magari yao zaidi ya 100.
Hivi na wewe umeridhika na hiki kipande cha habari ulichoweka?? Usikurupuke jipange, jiandae ndipo uweke sth sensible.
Zombe anatoka Arusha....!?huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
Wataishia tu kucharazwa mabomu ya machozi.