Wachezaji weusi wanakimbilia nini ngozi nyeupe???

Wachezaji weusi wanakimbilia nini ngozi nyeupe???

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,957
Hii si tu kwa wachezaji weusi bali weusi kwa jumla
jamani mliokimbilia huko kwa watu si haba kila sehemu riziki
nasema hivi sio ku nadi ma dada zetu hapana nasema jamani
wazuri wapo afrika
kabla ya kuamua rasmi kuoana na kuzaa si haba mkaliangalia hili
mara mbili..nimeona wachezaji wengi weusi wa afrika wamekimbilia kuoa
wazzungu anyway sijui kila mtu ana malengo yake...ila narudia tena
hata kama ni vimeo wanarekebishika jamani na wanakuwa mama wenye
familia bora.............tujitahid na kuwa majasiri kwa kuoa

waafrika wenzetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom