Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake.

Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo:

MAKIPA:
  • Aishi Manula - Anatajwa kumalizana na Azam FC
  • Ally Salim
  • Ayoub Lakred - Amesaini FUS Rabat ya Morocco
  • Moussa Pinpin Camara anapewa mwaka mmoja wa kujipima kabla ya hatma yake kuamuliwa.
MABEKI:
  • Kevin Kijili
  • Che Malone
  • Hussein Kazi
VIUNGO:
  • Fabrice Ngoma
  • Omari Omari
  • Augustine Okejepha
  • Jean Charles Ahoua - Ikiwa timu kutoka nje ya Tanzania itaweka dau la kuvutia atauzwa.
WASHAMBULIAJI:
  • Steven Mukwala - Ndiye pekee kwenye orodha ya kuondoka katika safu ya ushambuliaji kwa sasa
Nani abaki na nani aongezwe kwenye orodha hii?
 
Manula wangemuacha sababu anaipenda Simba
 
Kama Mimi ningekuwa kiongozi simba Ningeachana na wachezaji wa kigeni wafuatao.

1. Chemalone Fondoh.
2. Valentino Nouma.
3. Agustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charlea Ohua.
7. Christian Arteba.

Wachezaji wa Nyumbani.
8. Aishi Manula.
9. Omari omari.
10. Kijiri.
 
Simba SC hawataki changamoto ya kimchezo siku hizi; si klabu wala mashabiki. E.g hawataki kuamini hata uwe na kipa mzuri atafungwa. Waliamini Mussa Ping Ping Camara hataruhusu goli, ndio maana akiruhusu anasimangwa sana. Wanasahau kuwa kupata kipa mzuri ni kazi ya kubahatisha.
 
Kama Mimi ningekuwa kiongozi simba Ningeachana na wachezaji wa kigeni wafuatao.

1. Chemalone Fondoh.
2. Valentino Nouma.
3. Agustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charlea Ohua.
7. Christian Arteba.

Wachezaji wa Nyumbani.
8. Aishi Manula.
9. Omari omari.
10. Kijiri.
Hao wanyumbani ongeza
Awesu awesu
Ladak chasambi
Edwin balua
Ally salim
Hamza
Mzamiru
 
Kama Mimi ningekuwa kiongozi simba Ningeachana na wachezaji wa kigeni wafuatao.

1. Chemalone Fondoh.
2. Valentino Nouma.
3. Agustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charlea Ohua.
7. Christian Arteba.

Wachezaji wa Nyumbani.
8. Aishi Manula.
9. Omari omari.
10. Kijiri.
Bila kusahau Kapombe na Zimbwe
 
Ukiondoa Yanga na Singida BS timu zingine mbona wachezaji wa Simba wamefanya vizuri?Kupata points 78 wanapomaliza msimu sio vibaya ,sema TU Yanga wapo vizuri zaidi 🤔
 
Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake.

Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo:

MAKIPA:
  • Aishi Manula - Anatajwa kumalizana na Azam FC
  • Ally Salim
  • Ayoub Lakred - Amesaini FUS Rabat ya Morocco
  • Moussa Pinpin Camara anapewa mwaka mmoja wa kujipima kabla ya hatma yake kuamuliwa.
MABEKI:
  • Kevin Kijili
  • Che Malone
  • Hussein Kazi
VIUNGO:
  • Fabrice Ngoma
  • Omari Omari
  • Augustine Okejepha
  • Jean Charles Ahoua - Ikiwa timu kutoka nje ya Tanzania itaweka dau la kuvutia atauzwa.
WASHAMBULIAJI:
  • Steven Mukwala - Ndiye pekee kwenye orodha ya kuondoka katika safu ya ushambuliaji kwa sasa
Nani abaki na nani aongezwe kwenye orodha hii?
Duh ...mukwala nje ateba abaki!?
 
Mnatafuta kuendelea kujificha kwenye kichaka cha "TUNAJENGA TIMU?"

Mmetumia msimu mzima kujenga timu na hao wachezaji, halafu mkiwa mnatakiwa kuwa mmeshapata timu mnawaacha zaidi ya nusu ya first eleven ili muendelee na msimu mwingine wa ujenzi.
 
Kwa misimu kuanzia 2022/2023 simba kwenye usajili tunakwama sana, sijui ni kwamba hatuna umakini au bahati.

Kwa usajili wa wachezaji wazuri simba hatuwakuti hata singida bs achana na yanga.

Lazima tujithamini vinginevyo tutakuwa tunabadilisha almost kikosi kizima kila msimu
 
Back
Top Bottom