Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana
Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia

Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamisha