Wacheza show kunengua jukwaani 6*6 ziro

Wacheza show kunengua jukwaani 6*6 ziro

Hahahahaaa... kweli wewe mzoefu wa kula deo aisee. Kuna uhusiano gani wa mgongo, miguu, kiuno, ma macho kuuma na kuangalia hao wanenguaji? si unajua zamani hivi vitu havikuwepo ndo najifunza kwenu.

miss chagga miss you babe
Yaani kuna mtu hapo juu kaiba password yangu nashangaa sio mimi niliyecomment


Mgongo, kichwa, macho, miguu, kiuno, (u know what i mean)
 
Kukatika kwa show na kukatika mtu kakukalia juu anakukandamiza kilo 50 or 70 ni tofauti..Labda kama huyo mtu angekuwa hakuegemei...

Pili kukatika ya show na kukatika kule kwa 6*6 ni tofauti kabisaa ...Ukikatika ktk 6 kwa 6 kama unavyokata ktk show unaweza ukavunja mcholingo wa mwanaume sababu utaupeleka huku, kule mara utachomoka nk......Ukatikaji wa 6 by 6 unahitaji utaalamu....

Unazungumzia kilo 50 au 70?! Wanaokandamizwa na kina Komba,....zaidi ya kilo 100 wangesemaje!
 
Si hamna watazamaji hapo? yeye keshazoea sehemu zenye mwanga na anapata mzuka wa watazamaji labda anaweza ambulia chochote akifanya vizuri ata milioni... wewe unampa sijui elfu 20 unategemea nini?

Wewe ukitaka uone mambo yake leta watazamaji chumbani wanaoweza kupiga makofi (kuna jamaa apa Ntuzu na utafiti hawa wtawaharibia, Mr Rocky baada ya muda uzalendo utamshinda, kabanga ni mkakakmavu atavumilia huyu) na kumtuza kwa noti nyekundu nyekundu utausikilizia mziki wake. just a simpo logic Bro.


Khaaa, hu ushauri hu!!!?
 
Hahahahaaa... kweli wewe mzoefu wa kula deo aisee. Kuna uhusiano gani wa mgongo, miguu, kiuno, ma macho kuuma na kuangalia hao wanenguaji? si unajua zamani hivi vitu havikuwepo ndo najifunza kwenu.

ananidanganya kuwa ananipenda kumbe unampeleka kwa deo
 
i know you love me but you try other thing to other girl .... i hate to be sad but u made me to be in that way .... if you still love me make me smile again
Tized ndo anataka kunifundisha michezo ya ajabu wakati mimi sipendi
I love you babe and you know for sure the way we are and I cant cheat on you and play those dirty games.
Have a big kiss from me babe
 
Last edited by a moderator:
Tized ndo anataka kunifundisha michezo ya ajabu wakati mimi sipendi
I love you babe and you know for sure the way we are and I cant cheat on you and play those dirty games.
Have a big kiss from me babe

thank you honey love you more... nakupenda unajua kunifanya ni smile... honey leo utanipa ile hela niliyokuomba?
Tized acha kumfundisha mpenzi wangu mambo machafu
 
Wanna Jf

Kama kawaida yetu sisi wakiumeni tunapenda sana wanadada wanaokata mauno.

Hali hii upelekea wanaume wengi kuingia kwenye hisia za kutaka kuwa na mahusiano ya kimapenzi nae madada wacheza show.

Lakini ni ajabu kwamba kama jinsi wanajinasi kuwa hii n show vile vile 6*6 ni show tu, hawajui kitu au ni kwa sababu wanachoka sana! Au mwendelezo kuwa huwaonavyo sivyo walivyo.

Toa hoja.



Ulimjaribu nani, tutajie ili na sie wengine tusijiingize kwenye hasara ya kuhonga.
 
Na uzee huu wote, hawa vijana wataniogopa kaka. Labda nipake haya madawa vijana wa siku hizi wanayopaka haya.

Sema na vijana wa siku hizi wala hawatuogopi.... si unasikia wanasema mjini kila mtu hanii na bebiii!! Nyambaf!!!!
yaani blaza vijana siku hizi balaa, jana hiyo nilikuwa na wasema waze fulani hapa kibaruani kwangu eti wanapaka dawa kuficha nywele nyeupe....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom